Maswali kibao kuhusu taarifa ya Joanah

Maswali kibao kuhusu taarifa ya Joanah

Status
Not open for further replies.
Hivi kuna uhusiano gani wa cancer na kunyolewa nywele
Matibabu ya chemotherapy huwa yana target kwenda kuua cells ambazo zinakuwa kwa kasi , Basi cells za nywele ni moja wapo ya cells zinakuwa kwa kasi , hivyo wananyoa nywele ili zisiwe zinakatika wakati wa matibabu hayo . Hivyo tu mkuu
 
Sasa kama muhusika mwenyewe, hakuweka wazi kwenye uzi wake ni cancer gani inayomsumbua,unafikiri ndio atafunguka kwenye huu uzi uliouanzisha wewe?

Moderator please unganisheni hizi nyuzi.
 
mbona kajitahidi sana, kama ni kweli ana moyo wa kiume sana, wengi wangekuwa wanapepewa wanazimia na kuzimuka sahii

Kwa sasa mpeeni muda, akiwa tayari atashare

Hii ni kumpea presha ingine
Mnamdekeza.

Halafu disaini kama mnampa promo /kiki.
 
Niliwahi kufika pale OCRI , Cancer ni noma, Kuna wodi nyingine ya watoto wenye kansa Muhimbili pale km una roho ndogo huwatazami hao watoto
Narudia...
Cancer siyo Ugonjwa wa kuomba hata adui yako aupate...

Mimi Dada yangu amekatwa hadi ziwa....Bado anaendelea na matibabu wanamcheck tena wanamwambia imehamia kichwani😭😭
 
Ule uzi nimekosa cha kuandika..

Kama mtu ambaye nimeshuhudia Mgonjwa wa Cancer anavyoteseka tangu kupata taarifa....Na hatua zote za matibabu....

Namuombea Mungu tu amfanyie wepesi....Cancer siyo ugonjwa wa kuombea hata adui yako aupate.
Sure dear...
 
Kutukana tukana sio sifa.

Wewe bila shaka unapitia maumivu ya mapenzi, stress zako unatuletea humu.
Anayo haki ya kukasirika,

kumuanzishia huu uzi na kuuliza swali ambalo hakutaka kulijibu kwenye uzi wake,huoni kama huo ni ujinga? Hii JF kuna vijitu vina kimbelembele sana kufungua vinyuzi vyao visivyokua na kichwa wala miguu,

Tena mleta mada anasema kabisa Jo hajataka kujibu hilo swali kwenye uzi wake,halafu anamfungulia uzi na kuuliza swali lile lile!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Dalili za Schizophrenia hizo.

Hapo unajiona una dushe , kumbe una kipapa tu.

Sasa mbona unaact kama wewe ndo unamiliki kipapa?

Usiniambie kitendo cha mimi kushare nakufa hivi karibuni unaona wivu....wanawake bhana!
 
Anayo haki ya kukasirika,

kumuanzishia huu uzi na kuuliza swali ambalo hakutaka kulijibu kwenye uzi wake,huoni kama huo ni ujinga? Hii JF kuna vijitu vina kimbelembele sana kufungua vinyuzi vyao visivyokua na kichwa wala miguu,

Tena mleta mada anasema kabisa Jo hajataka kujibu hilo swali kwenye uzi wake,halafu anamfingulia uzi na kuuliza swali lile lile!

Imagine!!

Jamiiforums ina watu ambao kuna namna tu wanamtafutia mtu ubaya
 
Anayo haki ya kukasirika,

kumuanzishia huu uzi na kuuliza swali ambalo hakutaka kulijibu kwenye uzi wake,huoni kama huo ni ujinga? Hii JF kuna vijitu vina kimbelembele sana kufungua vinyuzi vyao visivyokua na kichwa wala miguu,

Tena mleta mada anasema kabisa Jo hajataka kujibu hilo swali kwenye uzi wake,halafu anamfingulia uzi na kuuliza swali lile lile!
Asitupangie vya kuuliza.

Ukitaka kumuona hamnazo, watu wake wa karibu amewaficha tatizo lake halafu anakuja humu JF kutuchambia umbea na likansa lake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom