Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 2,171
- 5,222
Kwanini hutaki kutoa taarifa kamili kuhusu ugonjwa wa cancer unaodai unahatarisha maisha yako?
Sawa umeridhia kufa bila battle na mapambano , je umetufikiria sisi kama watoto wako au wadogo zako, namna ya kujihami na huu ugonjwa ikiwa hutaki kutupa detail kamili, ili tujirinde au tuchukue hatua mapema?
Hujui kuwa hili jambo lako limetuathiri kisaikolojia joa, na litaendelea kutu vuruga zaidi tusipo pata detail zozote?
Je ikitokea ilikua ni miss conduct utatujibu Nini, dada yetu, ilihali hukutupa taarifa nzima?
Samahan dada Fanya Kwa maslahi yetu simama kama dada unacho Fanya unakosea type elimu pengine sisi tunaweza kujifunza kupitia wewe, pengine wapo humu wabobezi wa TIBA wakatoa ushauri wao zaidi, NAOMBA dada yetu funguka zaidi.
Usha sikia stori ya yule WAZIRI, alikua ana utaratibu kwenda DSM kufanya check up, na daktari aloye mtaja ni dkt KISENGE, ndio alikua anasimamia check up yake, kqmaliza akaondoka kama kawaida kurudi Dom, akiwa njian akapigiwa simu na KISENGE kuwa Yuko wapi, akadai analelkea Dodoma, dkt KISENGE AKAMWAMBIA AGEUZE GARI HARAKA arudi dar, alipo fika ndio akajuzwa AMEBAINIKA na cancer na akaambiwa anze safari kwenda INDIA Kwa matibabu, waziri anadai kilikua kipindi kigum sana imagine huumwi una afya njema lakini unaambiwa una cancer tena ukichekewa rip inakuhus.
Wa,iri hakuamini mpaka anafika India, haamini, Hadi alipo nyolewa NYWELE ZOTE, na maisha mapya ya kulala kitandani siku nzima na siku zote yalipo Anza, mashaallah alipona japo ni almost mwaka mzima alikua kule kama sikosei, maisha haya tunatembea lakini amini usi amini Leo hii tukipimwa humu jf wote wengine wenye cancer huenda tukapatikana MUNGU atusimamie inshaallah.