SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,928
- 2,006
Siwasemi Bongo movie najua ni unga unga unga mwana,nawaongelea hawa wasukuma ndinga ulaya.
Siku ile imetokea majanga kule hanang dunia nzima ilifahamu kilichotokea lakini sikuona wachezaji hawa wakituma michango yao ya hali na Mali nikawaza sana mambo haya yangetokea nchini kwakwe mane dunia nzima ingefahamu alichokifanya mane, siongelei utoaji mkubwa au sababu ya kipato cha mane alichonacho ila naongelea moyo wa mane au Ronaldo kwa mapenzi yao kwa watu.
Mwisho inawezekana mimi ndio sijui kuwa hawa wawakilishi wetu huwa wanatoa misaada mingi tu kwa jamii ila mimi ndio sijui.Nachukua wasaa huu kumpongeza we zombi hajui simba kama simba dangote walau nilishawahi kuona mara moja moja akiisaidia jamii kwa ujumla misaada isiyo na mlengo wa kidini.