Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
Mkuu umesahau waficha fedha za nchi yetu Uswizz, SA Caymans Islands wakati walimu madaktari watumishi kibao wanadai maslahi wanaambiwa serilkali haina fedha! Hawataki kurudisha hizo fedha zifanye kazi ya maendeleo na mkubwa wa nchi kakaaa kimya tuu utadhani hasikii.
Nchi imeharibika watu wakidai haki wanapelekwa Mabwepande, wanapigwa risasi za moto wakiwa na mabango na matawi ya miti, halafu wanakanusha kuwa wao hawajaua mtu yeyote, hii ni hatari saana hii.
Nchi imeharibika watu wakidai haki wanapelekwa Mabwepande, wanapigwa risasi za moto wakiwa na mabango na matawi ya miti, halafu wanakanusha kuwa wao hawajaua mtu yeyote, hii ni hatari saana hii.