Mastaa wa bongo: JK amwita Diamond ikulu

Status
Not open for further replies.
Kipapi kimesimama halafu fasta, sijui kama JK kweli aliweza kuvumilia. Ahaha! haha! natania tu wakuu zangu. Wabongo bana kwa ngono yaani hatuna issue..
 
Nyie mnakula bata huko kwa kodi zetu lazima mtumie nguvu kubwa sana kumtetea lakini mwisho unakaribia hata mfanyeje wabinafsi wakubwa! Ukipita Dodoma ukiona hizo nyumba utalia miaka 50 wananufaika wachache Kama wewe halafu unataka kuleta jeuri ohooo!!!!! Huo usultani utaisha tuu.

Siishi US kwa kodi za watanzania ni elimu yangu ndiyo iliyonipa mwanga; nyumba si tatizo wagogo wanazitaka kwa mtazamo ndio zinamudu hali ya hewa ya Dodoma; elimu ya matofali ya kuchoma walipewa siku nyingi sana sasa unataka serikali ifanye nini. Je mnataka kila uzushi mnaousema tuukubali hata kama ukweli upo wazi?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mimi nina wasiwasi na hii thread kama kweli imeandikwa na Mbunge wa CCM angejitambulisha kama kweli ni jasiri. Isijeikawa ni mtu tu kaamua kuiweka kwa sababu zake anazoazijua.

Nasema hivyo kwa sababu napata taabu sana kuamini kwamba kitendo kama hiki kinaweza kutokea ikulu katika kipindi kama hiki wanancihi tukiwa katika mateso ya kiuchumi na hali ya siasa inayotisha. Yaani rais hana habari kutafuta suluhu ya haya matatizo?

Basi kama kweli ndivyo ananikumbusha yule malkia wa Ufaransa Marie Antoinette. Wafaransa waliaandamana kutokana na hali mbaya ya uchumi hata mkate ulikuwa vigumu kuupata. Akiwa ndani ya jumba la mfalme akiogelea kwenye anasa za kila aina, akuliza, "Kwa nini hao watu wanaandamana?" Akaambiwa kuwa hawana mkate. Nae akajibu, "Kama hawana mkate si wale keki?"

Hapo unaona ni jinsi gani alivyokuwa hana habari na shida za wananchi. Kumbe na sisi yametufika!! OH dear what can the matter be? JK is no longer so dear! Chaguo la Mungu limekuwa chaguo la mafisadi kazi kwao pamoja na mbunge aliyeleta thread hii. Nashauri akaribishwe CHADEMA.
 
This president is a joke.Sikuwahi kumfuatilia kabisa hata alipochaguliwa.Baada ya utumbo mwingi ie ufisadi kuanza kwa kasi.Nikaona humu watu wanavyoponda.Nikasema huyu ngoja nimfwatilie kidogo labda wanamwonea.
Matokeo yake yalinisikitisha sana.Nikajiuliza ilikuwaje akachaguliwa kuwa rais?Nikaja nikapata lil
e jibu la wanamtandao,na alivyomwua muislam mwenzake Salim eti mwarabu wa Hizbu!Hakuingia kwa merits za uchapaji kazi ama atawafanyia nini watanzania zaidi ya slogan ya kitapeli ya "maisha bora kwakila mtanzania"

This president ni janga kubwa la Taifa na madhara ya utawala wake yatabaki for decades if not generations.

Jmushi1, You are extremely right if only the thread is genuine. Mimi binafsi napenda hii thread iwe si ya kweli ili kikombe cha machungu na aibu isiyo kifani vinipite! For that matter, for my own well-being, identifying my self as a proud Tanzanian, I conveniently wish to doubt the authenticity of this thread!!
 
Sawa endelea kuamini kuwa Kikwete kafanya udalali agawane pesa na Diamond. Hata babu wa Loliondo aliaminiwa watu wakafunga safari ndefu kumfuata...

we kweli una mahangaiko ya nafsi na akili; umeona kokote nimezungumzia udalali na pesa???? hivi because you are a mercenary basi unadhani kila atumwaye hutakiwa kuleta cash??? the mission could be clear... politics and helping yule dada wa DMV anayepambana ndani na nje ya chama chenu, na ana direct access na le prez. hivi wewe na akili yako ya abeecheee tu, with all the scandals za multimillion dollars unadhani kuna haja ya kutafuta dollar elfu ishirini za dogo anayeimba playback??

and ... goodness gracious, how did babu wa loliondo pop up here??

Mimi naamini kabisa, una masumbuko fulani yanakuletea shida sana kiasi kwamba sometimes unarespond kwenye kisichokua hata kwenye discussion....
 
Hamuishi uzushi hizi picha Loveness hakuwa peke mh. Raisi alipiga picha mojamoja na wajumbe wote ziweke na hizo nyingine ili udhihirishe uzushi wako; hivi ikitokea mama yako kapiga picha na mh. Raisi utasema naye katambaliwa?

Chama
Gongo la mboto DSM

sasa upo gongo la mboto au USA mkuu?
 
images
images
411114_10150952304684016_639734015_9985961_1532000628_o.jpg


Kwa taarifa yako chama!

and these were three different occassions right?
 
sasa weye mtoa mada wataka rais awafate hao wasanii huko majumbani mwao ..?! kuna kosa gani rais akiongea na mwananchi wake ikulu .... ?
 
Haahaaa Rais kawa promoter!, tafadhali waliokaribu nae mshaurini asianze ile tabia ya kunyang'anya watu passport kama akina Shigongo
 
we kweli una mahangaiko ya nafsi na akili; umeona kokote nimezungumzia udalali na pesa???? hivi because you are a mercenary masi unadhani kila atumwaye hutakiwa kuleta cash??? the mission could be clear... politics and helping yule dada wa DMV anayepambana ndani na nje ya chama chenu, na ana direct access na le prez. hivi wewe na akili yako ya abeecheee tu, with all the scandals za multimillion dollars unadhani kuna haja ya kutafuta dollar elfu ishirini za dogo anayeimba playback??

and ... goodness gracious, how did babu wa loliondo popped up here??

Mimi naamini kabisa, una masumbuko fulani yanakuletea shida sana kiasi kwamba sometimes unarespond kwenye kisichokua hata kwenye discussion....


Mkuu, you hit so hard. Uko sahihi kabisa. Siku zote ukiona povu ujue umegusa kwenyewe. Kama haya mambo yangekuwa ni uzushi, hakukuwa na sababu ya kujitetea kiasi hicho. Dhamira zinawasuta!
 
Ikulu ilipoteza heshima yake pale ilipo geuzwa anuani ya biashara na nche nkapa sasa hivi mtu yeyote anaweza kwenda cha msingi ni miadi tu na mkuu unatinga magogoni bila wasiwasi
 
Kwa hiyo Rais anatakiwa kudeal na maprofesa tu? Wanamuziki hawatakiwi Ikulu!!! Nimeona watu mnalalamika hata kitendo cha Rais kushirikia mazishi ya Kanumba. Kumbukeni kuwa Urais haumfanyi mtu aache kuwa binadamu wa kawaida. Mmenikumbusha wafanyakazi wa White house ya Marekani wanavyomlalamikia Michelle Obama kuwa tangu ameingia Ikulu kuna wageni wa hali ya chini wengi wanakuja, wakati wamezoea kuona White hause wanaalikwa "watu bora".

Huyo Loveness kama kila kitu alichowaambia mmemwamini hamuwezi kuweka lawama kwa JK. Ni jukumu lenu wenyewe kutafuta ukweli.

Ili kufahamu zaidi tamaduni za kualika watu mbalimbali Ikulu za nchi mbalimbali tazama hapa:
Barack Obama Invites Damian Lewis, Idris Elba To White House Dinner For David Cameron (VIDEO, PHOTOS)

Michelle Obama invites TV host Jimmy Fallon in for a White House gym session | Mail Online

Carla Bruni welcomes Russian president to state dinner in a daringly tight dress ~ Beauty Care

Angela Merkel would like to dine with Vicente del Bosque

kula mananasi na ndizi mbivu huwa vnasaidia sana uwezo wa kufikiri..
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom