Mastaa wa bongo: JK amwita Diamond ikulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mastaa wa bongo: JK amwita Diamond ikulu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nngu007, Aug 24, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Stori: Sifael Paula


  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemuita ikulu mwanamuziki anayefanya vizuri kwa sasa kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz' na kumpa jukumu maalum, Ijumaa linairusha hewani.

  Kwa mujibu wa Diamond, juzikati ‘prezidenti' alimwita ikulu Magogoni, Dar es Salaam na kumpa shavu la kwenda kufanya shoo kwenye mkutano maalum utakaofanyika Washington DC nchini Marekani hivi karibuni.

  "Yaa, rais aliniita akaniambia kuna shoo natakiwa kwenda kufanya Marekani. "Kwa mara ya kwanza nitasafiri nje ya nchi na madensa wangu wanne na msemaji mmoja. Sasa hivi hawataki kutembea na kupanda magari wasije wakakosa hiyo safari," alisema Diamond na kuongeza kuwa baada ya kuumwa, mawazo aliyaweka kwenye mchongo huo hivyo mambo mengine yataendelea ikiwa ni pamoja na kufanya kolabo na mwanamuziki wa kimataifa wa Nigeria, J. Martins.


  globalpublishers.info

   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  Madaktari na Waalimu sio lazima waende IKULU; Mastaa Yeah...
   
 3. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  This work could be easily done by waziri husika wa michezo,
   
 4. a

  akwino laurent Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa nini walimu hawakukaribishwa IKURU pindi walipokuwa wanadai mambo yao ya msingi?
   
 5. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Kwaio JK anapiga hadi deal za upromota!!
   
 6. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  Nasibu Abdul Jumaa...i hope hatagomea sensa huyu
   
 7. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,930
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha,mzee wa "raha ya wali ni nazi,eeh!raha ya supu mandazi eeh!"lol!
   
 8. Kyaiyembe

  Kyaiyembe JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 1,569
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mbavu zangu mkuu! mpaka na mwajina wako, namanisha utumbo mdogo na mpana {matumbo} ana maumivu makali kutokana na kicheko!.
   
 9. Kyaiyembe

  Kyaiyembe JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 1,569
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  I hope Obama ankielewa Kiswahili hivyo ataielewa vizuri hiyo "Tamu ya wali ni nazi................................................!."
   
 10. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,930
  Trophy Points: 280
  Ni kweli,inategemea na tukio lenyewe.Kama kutakuwepo na wasanii mbali mbali maybe kutoka culture na nchi tofauti,basi si big deal.Yani it depends on the occassion.Kwasasa bado hatujajuwa huo "mkutano maalum" unahusu nini.Pengine inawezekana hata Obama asiwepo,yupo busy na kampeni...maybe kina fitty cent,again,it depends on the occassion.
   
 11. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Yaaani Tanzania, yaani nchi hiii, yaani inanifurahisha, yaani haki ya nani mbavu zimeniuma kicheko!!! Khaaaaah
   
 12. Josephine

  Josephine Verified User

  #12
  Aug 24, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mmmmmmmmmm, nyota inatafutwa...
   
 13. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Ama kweli mkulu kakosa kazi za kufanya hahahah!Duh! hii kitu sio kweli jamani!
   
 14. Kyaiyembe

  Kyaiyembe JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 1,569
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu sidhani kama kuna Mila (CULTURE) hapo ni kuuza sura tu fadhira. Ingelikuwa ni Issue ya Culture wapo wanaojulikana kwa kazi zao za asili ya MTz zaid ya Huyu Sharobaro!. walau Wa4 au M. Mpoto!.
  Wasiwasi wangu kwa huyu kijana awe macho asijepatwa yaliyo mpata mzee wa Vailet!.
   
 15. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #15
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  correction!!

  mila=tradition
  utamaduni=culture
   
 16. Kyaiyembe

  Kyaiyembe JF-Expert Member

  #16
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 1,569
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu sidhani kama kuna Mila (TRADITION) hapo ni kuuza sura tu fadhira. Ingelikuwa ni Issue ya Tradition wapo wanaojulikana kwa kazi zao za asili ya MTz zaid ya Huyu Sharobaro!. walau Wa4 au M. Mpoto!.
  Wasiwasi wangu kwa huyu kijana awe macho asijepatwa yaliyo mpata mzee wa Vailet!.

  Nadhani hapo Mkuu matumbo umenisoma
   
 17. kajojo

  kajojo JF-Expert Member

  #17
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 1,256
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  hiv hizi safari zitaisha lini jaman,kha! Kutwa kucha kuzurura
   
 18. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #18
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,275
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Naaam!
   
 19. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #19
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  hasa hasa katibu kata
   
 20. B

  Bi. Mkora JF-Expert Member

  #20
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Jamani hivi raisi wetu hana vipau mbele? Kwani waziri asingeweza kumwita na kumpa ujumbe?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...