Massage. . . .

Massage. . . .

Du nimeipenda hii ila practical ingekuwa vizuri zaidi.
Nimekuaminia mpaka namuonea wivu huyo mwenzi wako.

Sasa practical sindio unamshirikisha mwenzio?Unaweza ukaanza kumfanyia wewe. . .yeye akajifunza kwako.

Heheheh. . ahsante.
 
Du nimeipenda hii ila practical ingekuwa vizuri zaidi.
Nimekuaminia mpaka namuonea wivu huyo mwenzi wako lizzy, this is what we guys wants, watu hivi vitu wanaenda kuvinunua barabarani badala ya kuwafundishana nyumbani. Hakika mapenzi ni ujuzi na yanahitaji umakini wa hali ya juu, asante sana lizzy for this useful post.
 
Massage nayo biashara kubwa mjini...nasikia massage palours kunatolewa huduma zote kwa ukamili wake. Sijui kama kuna ukweli katika hilo
 
Tena ni biashara kubwa sana na yenye pesa nzuri kwenye nchi za wenzetu zilizoendelea,ila huwa inanoga kama mpenzi wako akikufanyia, haipendezi unanunua massage mitaani huku una mme/mke/mpenzi
 
massage kwa waafrika ni uhuni lakini kwa wazungu ni sawa maana sisi tunatamaa kama nini ukinguswa kidogo tu mwili unasisimka kama unamwangiwa nmaji ya baridi. sina imani hata kama hizi massage za bongo zinafanya kazi kama tunavyozijua ila kua kitu nyma yake
 
Du nimeipenda hii ila practical ingekuwa vizuri zaidi.
Nimekuaminia mpaka namuonea wivu huyo mwenzi wako lizzy, this is what we guys wants, watu hivi vitu wanaenda kuvinunua barabarani badala ya kuwafundishana nyumbani. Hakika mapenzi ni ujuzi na yanahitaji umakini wa hali ya juu, asante sana lizzy for this useful post.

Jakubumba ...sasa praktiko sindio mnatakiwa kufanya na wenzi wenu nyumbani!Au mnataka niwafanyie mimi?!
 
Last edited by a moderator:
Massage nayo biashara kubwa mjini...nasikia massage palours kunatolewa huduma zote kwa ukamili wake. Sijui kama kuna ukweli katika hilo

Ndahani nadhani inategemeana na mteja. Kama ni mtu anaejiheshimu ataishia kwenye massage...kama sio ndo watavunja mpaka amri ya sita.

massage kwa waafrika ni uhuni lakini kwa wazungu ni sawa maana sisi tunatamaa kama nini ukinguswa kidogo tu mwili unasisimka kama unamwangiwa nmaji ya baridi. sina imani hata kama hizi massage za bongo zinafanya kazi kama tunavyozijua ila kua kitu nyma yake

Huko ni kujirahisi tu...kama unajua huwezi kuhimili mapigo ya nini ukafanyiwe sehemu ya kazi?!Fanyiwa na mpenzi wako.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom