Massage. . . .

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,803
59,283
Massage inaweza kutumika kumsaidia mtu kukabiliana na maumivu ya mwili (misuli mostly), relieve tension na kumfanya a-relax pia inaweza ikatumika kumsisimua mtu.

Kama nia ni kuondoa maumivu ya misuli ni vizuri zaidi ukatumia kitaulo na maji ya moto kiasi kumkanda badala ya mikono mikavu. Kwa nia ya kumfanya mtu arelax/asisimke tumia mafuta ya maji(yaweza kuwa brand yoyote ile, just make sure mhusika sio alergic na hicho kilochotumika kutengeneza hayo mafuta) yaliyopashwa kidogo.Sio yawe ya moto kiasi cha mwenzio kulalamika au wewe kuungua mikono bali kiasi tu.

Msihi mwenzako atulie na ujitahidi kuwa gentle. . usitumie nguvu.

Anza kwa kuweka mafuta mkononi alafu fikicha kidogo ili usimpake yakiwa na moto. Anzia shingoni kupaka mafuta taratiibu kisha shuka mpaka mabegani. Mkande kande na kumsugua taratibu shingoni, bega la kushoto na kulia alafu katikati. Rudia tena mara tatu huku ukiongeza pressure kila mara so you can get through those sore muscles if he/she has any.

Baada ya hapo paka mafuta mgongoni all the way mpaka kiunoni. Alafu anza kummassage mgongoni. . taratiiiibu on the sides na katikati huku ukiteremka taratibu mpaka kiunoni. Hapo waweza tulia for a few seconds alafu kama hutaki kumgusa vile chora mstari wa zig zag katikati ya mgongo wake three- four times. . .Down,Up and Down again.

Anza tena kumkanda toka chini kuelekea juu, huku pressure nayo ikiongezeka. Ile sehemu ya katikati yenyewe ibinye na vidole gumba vyote viwili kwa pamoja. Baada ya kurudia hiyo mara tatu,nne unganisha kwanzia shingoni mpaka kiunoni.

Next inama kidogo kwahiyo ukipumua anakua anahisi pumzi yako and you can smell the scent of his/her skin wakati unammassage upande wa juu wa mikono yake gently . . . Ukiinuka hapo teremka chini kabisa, piga magoti katikati ya miguu yake ili ummassage kwenye mapaja kidogo na miguuni.

Mpaka hapo mwili utakua umesharelax ila bado sehemu moja muhimu. Wewe ndo unakua mto wake. Kichwa chake anakiegemeza kwenye mabega yako, shingo zinakutana alafu unammassage kifuani gently.

Mahusiano yanaendeshwa kwa ushirikiano. . . usiwe mbinafsi.
 
Massage ya kupewa na mtu wako na ya kupewa na mtu usiyemjua kwa pesa ni vitu viwili tofauti. Ni sawa na kulinganisha sex ya kununua na inayotolewa ndani ya mahusiano.

Ni kweli lakini wabeijing bora wajue kwamba wasipotoa watu watatafuta huko kwenye vibanda mitaani.

Ni nzuri kufanyiwa nyumbani kwakweli kwakua more often than not mnaweza msimalize zoezi ukamrukia lol
 
Da' lizzy naomba nije hapo kwa ajili ya mazoezi kidogo plzzzz!!

ila kidogo cjaelewa, iyo masaji unayoelezea hapo juu ni kule kwenye centre zetu?
ama iyo masaji ya chumbani?

afu kwenye kibuluu ndio sehemu niipendayo zaidi ktk masaji, pekundu, cjaelewa freshi..unamaanisha?
 
kwel kabisa ninakubaliana na wewe lizzy nitafanya hvyo lakn lazma niakikishe nipo likizo au kesho yake siend ofisin mana duuu.... Itakuwa mshike mshike
 
ila kama mikono yake ni migumu mwanangu,...tutatoana ngozi bana,...
hata kama anapaka mafuta, lakini kiganja nacho kinautamu wake kikiwa kilaiiini!!
 
ndo kazi ya mafuta kupunguza msuguano

ila kama mikono yake ni migumu mwanangu,...tutatoana ngozi bana,...
hata kama anapaka mafuta, lakini kiganja nacho kinautamu wake kikiwa kilaiiini!!
 
Massage ya kupewa na mtu wako na ya kupewa na mtu usiyemjua kwa pesa ni vitu viwili tofauti. Ni sawa na kulinganisha sex ya kununua na inayotolewa ndani ya mahusiano.
Hata wa nje unao walipia pesa wanakupa massage/sex heavy mana anajua akisha kosea hapati tena pesa.
 
Wengine tupo vijijini na hatuna girlfriend wala mke what should we do?

So, ikiwa ni hivyo basi wewe una sehemu moja tu ya kujifanyia masaji, husisha hisia na jichue
 
Mi nafanyaga sana masaji yehemu ya chini kwa mbele kidogo chini ya nanilii lakini nakandakanda kwa kutumia sabuni isiyo decorated, yenye manukato mazuuuuuri. Baada ya hapo aagh mwepeeeesi. Lizzy bana!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom