Massage. . . .

Ah wewe hebu kuwa serious mkuu....
Mwanaume mwenzangu anifanyie??
Haiwezekani hasirani......
Sana tu. . .
Sio kila massage inahamasisha/chochea hisia za kufanya mapenzi. Nyingine ni kwaajili ya maumivu ya mwili (hata Dr anaweza akakuandikia) , kupunguza tension na stress. Inakua kama tiba, yeyote anaweza akakuhudumia na kusiwe na tatizo lolote.
 
mkuraba mkuraba nakumbuka massage ya machicha ya nazi yasiyokamuliwa nikiwa nimelazwa kwenye mkeka mh sinto sahau huyu binti aliyekaa sabatatu yaani ilikuwa raha mustarehe ilibidi niongeze siku za kukaa tanga mjini kutoka wiki moja hadi mbili thanks binti Ali maana sijawaahi fanyiwa tena hii kitu tangu siku ile na sintosahau raha yake nakukumbuka daima ijapokuwa umetangulia mbele ya haki

dah mkuu pole sana kwa kupoteza penzi la maisha yako!
Kumbukumbu hzo ni liwazo tosha sana maana nasikia huko Tanga siyo tena kama ya kipindi hicho....
 
Sana tu. . .
Sio kila massage inahamasisha/chochea hisia za kufanya mapenzi. Nyingine ni kwaajili ya maumivu ya mwili (hata Dr anaweza akakuandikia) , kupunguza tension na stress. Inakua kama tiba, yeyote anaweza akakuhudumia na kusiwe na tatizo lolote.

Bibieee weee labda afanye doctor mwenyewe, ila vinginevyo haijakaa poa kabisa wala hauta-enjoy ile yenyewe!
Hivi ukifanyiwa na dume jenzio, utaweka hyo mishumaa? Utaweka huo mziki lain kama alioweka BAK?
Lol haiwezekani kwakweli
 
jG ya mishumaa ni maalum kwa wapenzi, hii nyingine ni kwaajili na relaxation na sio kuexcite mwili sexually.
 
mkuraba mkuraba nakumbuka massage ya machicha ya nazi yasiyokamuliwa nikiwa nimelazwa kwenye mkeka mh sinto sahau huyu binti aliyekaa sabatatu yaani ilikuwa raha mustarehe ilibidi niongeze siku za kukaa tanga mjini kutoka wiki moja hadi mbili thanks binti Ali maana sijawaahi fanyiwa tena hii kitu tangu siku ile na sintosahau raha yake nakukumbuka daima ijapokuwa umetangulia mbele ya haki

RIP binti Ali.

Kama unapenda sana siumfundishe uliye nae?
 
Bibieee weee labda afanye doctor mwenyewe, ila vinginevyo haijakaa poa kabisa wala hauta-enjoy ile yenyewe!
Hivi ukifanyiwa na dume jenzio, utaweka hyo mishumaa? Utaweka huo mziki lain kama alioweka BAK?
Lol haiwezekani kwakweli

hahaha,hatuaminiani siku hizi jamani duh
 
Hehehehe. . .mwenzio kasema hua anasinzia. I think it depends on the mood, mazingira na shughuli yenyewe.

Alafu Mbu unisaidie hapo kati. . .yani nimepotea kabisa!!

...ohoo..umepotea wapi tena Lizzy, kundalini?...wajua kama sutra si ndio?
changanya na yoga,...tantric sensual massage...ukiamua ku volunteer jua ni shughuli
si chini ya dakika 90...
 
Hahahaha. . . kumbee ehhhh!!Sasa nimekusoma Mbu.

Hapo kwakweli inabidi mtu uwe umejiangaa haswa, sio unajitosa baharini wakati huna nguvu za kuogelea. Lolz
 
Sana tu. . .
Sio kila massage inahamasisha/chochea hisia za kufanya mapenzi. Nyingine ni kwaajili ya maumivu ya mwili (hata Dr anaweza akakuandikia) , kupunguza tension na stress. Inakua kama tiba, yeyote anaweza akakuhudumia na kusiwe na tatizo lolote.

si huwa hata kuna pressure points...
 
Hahahaha. . . kumbee ehhhh!!Sasa nimekusoma Mbu.

Hapo kwakweli inabidi mtu uwe umejiangaa haswa, sio unajitosa baharini wakati huna nguvu za kuogelea. Lolz

...lolz....awakening The Kundalini ni sawa na stimulating to the max the The Gräfenberg Spot....yaani, unaweza mfanya mtu akamkumbuka mpaka "babu mzaa bibi yake!.."
 
Hehehe! Utaniweza kwa ushahidi sasa?! Mzigo wenyewe namchungia wifi yangu, wajua kakangu kaizer akiharibu; wknd ntakosa pa kwenda kudoea pilau. Nikifika nikakuta kaka anafua inabidi nianze kumsaidia, si wajua mwanamke hana ugeni? Kazi kweli yaani!

...ha ha ha.... nimeipenda hiyo 'abiria chunga mzigo wako'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom