Massage. . . .

Massage. . . .

Ndio maana tunakumbushana/elezana.

Sema na nyie wanaume muwe mnawaambia wenzenu kama kuna vitu mngependa wawe wanafanya kwaajili yenu. Sio mnakaa kimya, mnabaki kusikia kwingine alafu badala ya kirudisha somo makwenu mnaenda kusaka huko huko nje anaejua tayari. Mueleze, kama hajui muongoze mpaka afikie kiwango unachotaka wewe.
Inategemea!
 
Enzi huu uzi unaanzaisha Nchi yetu ilikuwa na Demokrasia nzuri japo siyo sana ila ikikuwa inapendeza. Enzi za JK!

Tulikuwa tunahadili mambo kwa uwazi na uhuru bila kuwa na Hofu ya Uzi/ maoni kufutwa, ila baada ya Dikteta uchwaro kuingia madarakani kila kitu kilibadikikaa... Yaan hata huu mchango wangu hapa naona kama utafutwa muda c mrf!!!!
 
Some women just dont get it.

Hawaoni kama hayo yana umuhimu. Utapewa majibu upige kimya and next time hutaulizia tena hizo huduma lol
😂😂😂😂 nasikia siku hizi pesa 🤑🤑 ndo inaongea Maundumula .Kama pesa hamna hata ukim-hug baby wako anaona kama vile unamsumbua 😄😄

Ila wanao-value hizo mambo wapo bana. You just have to find someone who is really into you!!!
 
Uzi wa 2012.

Since then, so much water has passed under the bridge.

Kuna massage parlour za kumwaga. Lengo ni moja tu - happy ending. Money exchanging hands!
Siku hizi kila kitu kimegeuka biashara 🥴🥴
 
Enzi huu uzi unaanzaisha Nchi yetu ilikuwa na Demokrasia nzuri japo siyo sana ila ikikuwa inapendeza. Enzi za JK!

Tulikuwa tunahadili mambo kwa uwazi na uhuru bila kuwa na Hofu ya Uzi/ maoni kufutwa, ila baada ya Dikteta uchwaro kuingia madarakani kila kitu kilibadikikaa... Yaan hata huu mchango wangu hapa naona kama utafutwa muda c mrf!!!!
G bznes 😂😂😂 ni kama unamuambia "su" Invisible ila sidhani kama kawa mkorofi siku hizi.

You are right though....mambo yamebadilika sana in the last few year mpaka watu tunatamani kukimbia nchi.😏
 
Massage ya kupewa na mtu wako na ya kupewa na mtu usiyemjua kwa pesa ni vitu viwili tofauti. Ni sawa na kulinganisha sex ya kununua na inayotolewa ndani ya mahusiano.
Naam, hili ndo lenyewe sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom