Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

Customer Care ya Wadada wa Saluni za kiume iko juu sana....yaani anaweza hata akakuchanganyia upupu kwenye Scrub na muwasho ukausikia ukiwa nyumbani!.. hapa unaweza hata kubandikwa lami ya strabag kwenye kipara na bado ukahisi ni easy wave!.

Kuna ile kitu inaitwa Massage ya kichwa,...aisee hapa hata uwe Jenerali wa jeshi lazima utakuwa mpole kama anaungama!,...yaani unakuta mtu kasinzia anakandwa utosi huku analamba midomo kwa raha kana kwamba kapata Scholarship ya kusomea Gesi huko Freiburg Ujerumani!.[emoji23]

Unaambiwa "Kaka tukupake na dawa ya mba?..NDIYO NIPAKE....je Scrub ya Maboga ?"...unajibu tena NDIYO".....hujakaa vizuri unasikia "tukuwekee Tango kwenye Kidevu?"......Unajibu NDIYO!'....halafu unasikia tena "Tukupake Limao kwenye Upara?...hapa napo jibu ni NDIYO kana kwamba unapokea ufunuo!

Mwisho wa siku unaletewa Bili laki moja na therathini na tatu-133,000/-!.....na hapo sasa ndipo unapomuona Bwana Israel mtoa roho ameketi jirani yako nae ananyolewa kiduku.. [emoji23][emoji23][emoji23]!
 
Kweli hao viumbe wachokozi kweli yaani mwanangu wanajua kutulegeza sisi vidume!!!!,ni hatari.
 
Kuna kipindi nilikuwa Rwanda kwenye uwanja wao wa Amahoro palikuwa na Rwandan open mashindano haya ya tennis. Palikuwa na wadada warembo hao kama wana undugu na malaika nao wana kibanda chao wanafanya masaji kibao tu ilivyonivutia ilikuwa body to body massage afu bei yenyewe ilikuwa buku 6 faranga...nkaona sio ishu hasara roho pesa makaratasi, Si nikajitosa kuexperience aseee!! Kumbe raha ikizidi unaweza ukafa kabisaaa! Mara nimwagiwe mayonnaise...mara olive oil mixed with vanilla huku body ya mrembo black beauty mwenye kiingereza chenye grammar ya kuchechemea akirub her body to mine very gently and romantically huku kamziki murua kajamaa mmoja anaitwa king James kakitumbuiza kwa mbaaali ...!

Hiki kitu kilinifanya niwe addicted na Rwanda mpaka kesho, sema wenzetu wana reasonable prices compared na bongo.
 
limao, tango, nahisi hapo unakua kachumbali sasa
 
Raha ikizidi unaweza kukata kauli mkuu. Mfano upate mwanamke fundi wa kushika microphone vizuri, akaanza kuimba taarabu, kisha akapiga hiphop na blues kwa mbali alafu aje apige mziki wa kisasa singeli haki ya mungu unaweza kufa.
 
Kaeni chini na mkeo, mgoogle jinsi ya kumassage, akishajua mwachie yeye kazi hiyo.
Point sana umeonge mie my wife alikuwa anawivu sana nikienda saloon za hivyo tukakubaliana yeye aende akasomee ni kwa ajiri yangu tu hawa weekend kama hivi tupo home
 
Madada wa saluni huwa wanatia majaribu sana. Kuna siku wamenilegeza kweli na masaji yao hadi shetani akanitembelea.
 
Kuna kipindi nilikuwa Rwanda kwenye uwanja wao wa Amahoro palikuwa na Rwandan open mashindano haya ya tennis. Palikuwa na wadada warembo hao kama wana undugu na malaika nao wana kibanda chao wanafanya masaji kibao tu ilivyonivutia ilikuwa body to body massage afu bei yenyewe ilikuwa buku 6 faranga...nkaona sio ishu hasara roho pesa makaratasi, Si nikajitosa kuexperience aseee!! Kumbe raha ikizidi unaweza ukafa kabisaaa! Mara nimwagiwe mayonnaise...mara olive oil mixed with vanilla huku body ya mrembo black beauty mwenye kiingereza chenye grammar ya kuchechemea akirub her body to mine very gently and romantically huku kamziki murua kajamaa mmoja anaitwa king James kakitumbuiza kwa mbaaali ...!

Hiki kitu kilinifanya niwe addicted na Rwanda mpaka kesho, sema wenzetu wana reasonable prices compared na bongo.
Ulipata happy ending au? Malizia story mkuu
 
Back
Top Bottom