Henge
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 6,933
- 1,514
Kama hivyo si muachane nayo jamani. Na kama mtu unapenda sana massage unanunua vitu mkeo anakufanyia home ili mambo yakitibuka unakuwa upo salama.
mkuu haujaoa/kuolewa??
Kama hivyo si muachane nayo jamani. Na kama mtu unapenda sana massage unanunua vitu mkeo anakufanyia home ili mambo yakitibuka unakuwa upo salama.
U Had Unprotected Sex.
tatizo wana mahangaiko hawa viumbe.
yaaani, ni kama majanga tu.Nikuambie kitu;
siku ujaze kwenye friji lako
vinywaji vyooote anavyopenda mumeo
lakini ataviacha tu na atakwenda kwenye kagrocery
hapo kati ambapo hata umeme hakuna;
Usiombe ukakutana na masaage pale kijitonyama,nakumbuka niliwahi kuwapeleka washkaji zangu flani toka nje,ni balaa kuna watoto wazuri usiseme,halafu wamekuvalia night dress,sasa hapo ukiingia room kukandwa piga uwa watakufanyia kila upuuzi mpaka network itakuwa full,mwisho utataka mzigo,
Ukweli kuwa massage ni kisingizo tu lakini yale ni madanguro tu
hawa wadada wa saloon malaya mno, nimewahi kumpeleka boyfriend wangu kunyoa nywele saloon moja ipo karibu na american chips kindondoni, alipomaliza kunyolewa wakamuita mdada wa kumuosha nywele, pale ndo niliona balaa, mdada akaanza kumpapasa, mi niliwekwa separate room, ila nikashtuka mbona jamaa haachiwi?, alipomaliza akaanza kumfanyia massage ya kichwa huku anamuwekea vidole kwenye masikio, nikaamua kuingilia kati, nikamwambia dada tumekuja kunyoa, huduma ya massage bure hatuhitaji na tuna haraka muachie huyo baba...
Hawa wadada ni malaya wa mchana kweupe
Dunia imekwisha siku nyingine munyoe kwa mkasi
hawa wadada wa saloon Malaya mno, nimewahi kumpeleka boyfriend wangu kunyoa nywele saloon moja ipo karibu na American Chips Kindondoni, alipomaliza kunyolewa wakamuita mdada wa kumuosha nywele, pale ... Hawa wadada ni malaya wa mchana kweupe
Dunia imekwisha siku nyingine munyoe kwa mkasi
ni malaya sn,nilimpeleka jamaa yangu saloon flan hv ipo kati ya riverside na mabibo hostel,jamaa yangu kwenda kunyoa na kufanyiwa vionjo vingine..baada ya jamaa yangu kuielewa huduma ilimbid aombe mzigo...mwisho wa siku alipata kitu cha gono..