Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

Kuna Saluni moja ipo Arusha nikienda kunyoa lazima Wife anisindikize kuna watoto wa kike wazuri balaa.
 
Ulipata happy ending au? Malizia story mkuu
Story yenyewe inajizungumza...sad story with happy ending..!

we mkuu kama unatoka kwa zile njemba za SHILAWADU kwa kupenda ubuyu! Ahahaha!

Let me get myself together then nkumegee mpaka pale nilipowekewa cucumber kwenye macho na asali kwenye ******.

Stick around!
 
Customer Care ya Wadada wa Saluni za kiume iko juu sana....yaani anaweza hata akakuchanganyia upupu kwenye Scrub na muwasho ukausikia ukiwa nyumbani!.. hapa unaweza hata kubandikwa lami ya strabag kwenye kipara na bado ukahisi ni easy wave!.

Kuna ile kitu inaitwa Massage ya kichwa,...aisee hapa hata uwe Jenerali wa jeshi lazima utakuwa mpole kama anaungama!,...yaani unakuta mtu kasinzia anakandwa utosi huku analamba midomo kwa raha kana kwamba kapata Scholarship ya kusomea Gesi huko Freiburg Ujerumani!.[emoji23]

Unaambiwa "Kaka tukupake na dawa ya mba?..NDIYO NIPAKE....je Scrub ya Maboga ?"...unajibu tena NDIYO".....hujakaa vizuri unasikia "tukuwekee Tango kwenye Kidevu?"......Unajibu NDIYO!'....halafu unasikia tena "Tukupake Limao kwenye Upara?...hapa napo jibu ni NDIYO kana kwamba unapokea ufunuo!

Mwisho wa siku unaletewa Bili laki moja na therathini na tatu-133,000/-!.....na hapo sasa ndipo unapomuona Bwana Israel mtoa roho ameketi jirani yako nae ananyolewa kiduku.. [emoji23][emoji23][emoji23]!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Raha ikizidi unaweza kukata kauli mkuu. Mfano upate mwanamke fundi wa kushika microphone vizuri, akaanza kuimba taarabu, kisha akapiga hiphop na blues kwa mbali alafu aje apige mziki wa kisasa singeli haki ya mungu unaweza kufa.
Nisingetumia Kamusi nisingeelewa kitu hapo.
 
Customer Care ya Wadada wa Saluni za kiume iko juu sana....yaani anaweza hata akakuchanganyia upupu kwenye Scrub na muwasho ukausikia ukiwa nyumbani!.. hapa unaweza hata kubandikwa lami ya strabag kwenye kipara na bado ukahisi ni easy wave!.

Kuna ile kitu inaitwa Massage ya kichwa,...aisee hapa hata uwe Jenerali wa jeshi lazima utakuwa mpole kama anaungama!,...yaani unakuta mtu kasinzia anakandwa utosi huku analamba midomo kwa raha kana kwamba kapata Scholarship ya kusomea Gesi huko Freiburg Ujerumani!.[emoji23]

Unaambiwa "Kaka tukupake na dawa ya mba?..NDIYO NIPAKE....je Scrub ya Maboga ?"...unajibu tena NDIYO".....hujakaa vizuri unasikia "tukuwekee Tango kwenye Kidevu?"......Unajibu NDIYO!'....halafu unasikia tena "Tukupake Limao kwenye Upara?...hapa napo jibu ni NDIYO kana kwamba unapokea ufunuo!

Mwisho wa siku unaletewa Bili laki moja na therathini na tatu-133,000/-!.....na hapo sasa ndipo unapomuona Bwana Israel mtoa roho ameketi jirani yako nae ananyolewa kiduku.. [emoji23][emoji23][emoji23]!
Ahahahahah mbavu zang aiseeee we jamaa umetia chumv mpk sukar
 
Ahahaa unashikwashikwa tu mpaka umalize umeshalowanisha na boxer yenyewe unaleta mchezo kuna jamaa kila week ye ananyoa kipara cjui mnaita dongo hiyo service anayopewa sio mchezo.
 
Customer Care ya Wadada wa Saluni za kiume iko juu sana....yaani anaweza hata akakuchanganyia upupu kwenye Scrub na muwasho ukausikia ukiwa nyumbani!.. hapa unaweza hata kubandikwa lami ya strabag kwenye kipara na bado ukahisi ni easy wave!.

Kuna ile kitu inaitwa Massage ya kichwa,...aisee hapa hata uwe Jenerali wa jeshi lazima utakuwa mpole kama anaungama!,...yaani unakuta mtu kasinzia anakandwa utosi huku analamba midomo kwa raha kana kwamba kapata Scholarship ya kusomea Gesi huko Freiburg Ujerumani!.[emoji23]

Unaambiwa "Kaka tukupake na dawa ya mba?..NDIYO NIPAKE....je Scrub ya Maboga ?"...unajibu tena NDIYO".....hujakaa vizuri unasikia "tukuwekee Tango kwenye Kidevu?"......Unajibu NDIYO!'....halafu unasikia tena "Tukupake Limao kwenye Upara?...hapa napo jibu ni NDIYO kana kwamba unapokea ufunuo!

Mwisho wa siku unaletewa Bili laki moja na therathini na tatu-133,000/-!.....na hapo sasa ndipo unapomuona Bwana Israel mtoa roho ameketi jirani yako nae ananyolewa kiduku.. [emoji23][emoji23][emoji23]!
Aisee!! Nmecheka sana vionjo vyako
 
Wanaume wa Dar bwana,,,, ndiyo maana mnakosa nguvu za kiume.
 
Bhuahahahaha me nilishaachaga kwenda kwenye izo saloon asee
 
Mie huwa nauliza kwanza bei... Nimekuja kunyoa nywele ndio lengo kuu, hizo nyingine mbwembwe tu...
 
Kuna kipindi nilikuwa Rwanda kwenye uwanja wao wa Amahoro palikuwa na Rwandan open mashindano haya ya tennis. Palikuwa na wadada warembo hao kama wana undugu na malaika nao wana kibanda chao wanafanya masaji kibao tu ilivyonivutia ilikuwa body to body massage afu bei yenyewe ilikuwa buku 6 faranga...nkaona sio ishu hasara roho pesa makaratasi, Si nikajitosa kuexperience aseee!! Kumbe raha ikizidi unaweza ukafa kabisaaa! Mara nimwagiwe mayonnaise...mara olive oil mixed with vanilla huku body ya mrembo black beauty mwenye kiingereza chenye grammar ya kuchechemea akirub her body to mine very gently and romantically huku kamziki murua kajamaa mmoja anaitwa king James kakitumbuiza kwa mbaaali ...!

Hiki kitu kilinifanya niwe addicted na Rwanda mpaka kesho, sema wenzetu wana reasonable prices compared na bongo.
Hakuna extra service?!
 
Back
Top Bottom