Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

Customer Care ya Wadada wa Saluni za kiume iko juu sana....yaani anaweza hata akakuchanganyia upupu kwenye Scrub na muwasho ukausikia ukiwa nyumbani!.. hapa unaweza hata kubandikwa lami ya strabag kwenye kipara na bado ukahisi ni easy wave!.

Kuna ile kitu inaitwa Massage ya kichwa,...aisee hapa hata uwe Jenerali wa jeshi lazima utakuwa mpole kama anaungama!,...yaani unakuta mtu kasinzia anakandwa utosi huku analamba midomo kwa raha kana kwamba kapata Scholarship ya kusomea Gesi huko Freiburg Ujerumani!.[emoji23]

Unaambiwa "Kaka tukupake na dawa ya mba?..NDIYO NIPAKE....je Scrub ya Maboga ?"...unajibu tena NDIYO".....hujakaa vizuri unasikia "tukuwekee Tango kwenye Kidevu?"......Unajibu NDIYO!'....halafu unasikia tena "Tukupake Limao kwenye Upara?...hapa napo jibu ni NDIYO kana kwamba unapokea ufunuo!

Mwisho wa siku unaletewa Bili laki moja na therathini na tatu-133,000/-!.....na hapo sasa ndipo unapomuona Bwana Israel mtoa roho ameketi jirani yako nae ananyolewa kiduku.. [emoji23][emoji23][emoji23]!
you have made my day mkuu
 
Leo naomba nitoe dukuduku langu,

Wadada wa Saluni za kiume (Barber shops) mnaboa sana. Mtu akishanyolewa wataanza "kaka scrub kidogo" huku anakulegezea macho, mara akushike wakati umeshamwambia kuwa unaosha tu.

Mnaboa kiukweli.
 
Mie juzi nimemaliza kunyoa eti ananilazimisha ..nikamuambia inatosha nitaenda kuoga nyumbani ,likawa linashawishi. Yupo kibiashara lzm akulazimishe
 
Leo naomba nitoe dukuduku langu,

Wadada wa Saluni za kiume (Barber shops) mnaboa sana. Mtu akishanyolewa wataanza "kaka scrub kidogo" huku anakulegezea macho, mara akushike wakati umeshamwambia kuwa unaosha tu.

Mnaboa kiukweli.
Hata bei zao usipouliza kwanza unapigwa cha juu
 
Hawana adabu! kwanza vaaji yao waliowengi ni ya kichangudoa.
Kwanza hawana muda wa kuwa humu jukwaani kwa hiyo huu uzi unatwanga maji! Sana sana kwenye MMU ndo maeneo yao ya kuwindia! Avatar zao utazijua tu!
 
Leo naomba nitoe dukuduku langu,

Wadada wa Saluni za kiume (Barber shops) mnaboa sana. Mtu akishanyolewa wataanza "kaka scrub kidogo" huku anakulegezea macho, mara akushike wakati umeshamwambia kuwa unaosha tu.

Mnaboa kiukweli.

Wanaboa sana halafu umewahi kuwaza mikono wanayo tumia kukufanyia scrub ndo wanatumia kuoshea papuchi?Toka niwaze hivyo sifanyi tena scrub
 
Ha ha ha !!! Aisee sasa unaninyanyapaa wazi wazi. Ngoja nitafute wale wadada wa dawati la kunyanyapaa nikakushtaki kule.
Dunia nzima itakuzomea Mkuu! Ukinitaja tu jina langu alafu ukasikika unanyanyapaliwa kwa sababu ya mtoto mrembo scorpio me ,aaaargh the whole world will be against you.
 
Kuna kamoja pale sinza kalinilazimisha kakaanza kunchoma na vichuchu vyake , shetan likanipanda nikakagegeda najilaumu
 
Back
Top Bottom