Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

hii kama ina kaukwel fulani hivi maana imeshawahi kunikuta
 
Scrub tu ilinimaliza nguvu,anashika shika mabega,anasugua pole pole halafu yupo mwenyewe akaniambia kwa sauti ya mahaba "vipi unataka nikupe na huduma nyingine??"
 
Ni kweli, rafiki yangu alikwenda kunyoa, kilichomkuta baada ya kunyoa ni hizo masages za kukandwa kichwa na kuwekewa vidole masikioni, ilibidi ahailishe kuwa anakwenda kwenye hizo salon. Wabadilike hao kinadada. Sio wanaume wote wanahitaji ngono.
 
Scrub tu ilinimaliza nguvu,anashika shika mabega,anasugua pole pole halafu yupo mwenyewe akaniambia kwa sauti ya mahaba "vipi unataka nikupe na huduma nyingine??"

Kamanda ushikwapo shikamana, ebo!!
 
Mimi hata niende kunyoa wapi, msimamo wangu ni kwenda kuoga nyumbani.
Hao wadada wanamakusudi na wanamaanisha biashara, tatizo wanafikiri kila mtu ni mteja.
 
mi nanyoaga nywele uswahilini ,haya mambo ya kushikwa shikwa mara unaambiwa ulipe buku 15 sitaki.

Ahaa haaa haa umeshikwa kidgo tu unambiwa kaka 20000


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
ni malaya sn,nilimpeleka jamaa yangu saloon flan hv ipo kati ya riverside na mabibo hostel,jamaa yangu kwenda kunyoa na kufanyiwa vionjo vingine..baada ya jamaa yangu kuielewa huduma ilimbid aombe mzigo...mwisho wa siku alipata kitu cha gono..

Huyo alikuwa malaya vilevile..dada wa saloon umgonge kavu?
 
hawa wadada wa saloon Malaya mno, nimewahi kumpeleka boyfriend wangu kunyoa nywele saloon moja ipo karibu na American Chips Kindondoni, alipomaliza kunyolewa wakamuita mdada wa kumuosha nywele, pale ndo niliona balaa, mdada akaanza kumpapasa, mi niliwekwa separate room, ila nikashtuka mbona jamaa haachiwi?, alipomaliza akaanza kumfanyia massage ya kichwa huku anamuwekea vidole kwenye masikio, nikaamua kuingilia kati, nikamwambia dada tumekuja kunyoa, huduma ya massage bure hatuhitaji na tuna haraka muachie huyo baba...
Hawa wadada ni malaya wa mchana kweupe

heeeeeeeeeeeeee . . . . . . . . . .it's all about strategies
 
Vipi mdau yapi yamewahi kukukuta pindi ulipoenda saloon kunyoa!
1474138311228.png
 
Hahaha juzi nilikuwa kigamboni nikambiwa unatka massage nikajibu ndio akasema elfu 50 nikasema okay sasa kikichotokea humo ndani aisee hatar
 
Ssa na wenye waume wanapenda utamuachaje mumeo afanyiwe massage na mtu mwingine
Mpe mashart ukienda kunyoa ukkmaliza njoo nyumbani ntakumassage, scrub n.k mwenyew

Mm sitokuja kuruhusu hili aiseee
 
apo anakusafisha taratibu hisia zinapanda na sehemu muhimu kupanda pia.. unaweza karibu kumbuka madeni au hata ma ex walivyokuachaga ili upotezee lakini wapi.. suruali hiyo!
 
Ssa na wenye waume wanapenda utamuachaje mumeo afanyiwe massage na mtu mwingine
Mpe mashart ukienda kunyoa ukkmaliza njoo nyumbani ntakumassage, scrub n.k mwenyew

Mm sitokuja kuruhusu hili aiseee
Mama Confidence hayo unayoongea in reality hayapo hawa wanawake wetu wa kiswahili wavivu hawapo innovative wakishakaa kwa mahusiano wanaleta mazowea ndio maana watu huenda huko kwenye huduma bora
 
Back
Top Bottom