Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

akiwa na mke wa kwanza....

mke wa pili watatu na wanne wanakamuliwa

akienda kwa wa pili.... wa kwanza, watatu na wa nne wanakamuliwa

akienda kwa watatu: wa kwanza, wa pili na wanne wanakamuliwa

akienda kwa wa nne: wa kwanza, wa pili, na wa tatu watakamuliwa

halafu wakeze walivyo pisi sasa......

kuna watu watafaidi sambamba nae.......

NB

ni mtazamo wangu, povu kafulieni nguo
Nope connection ya mke wake wa pili tafazali
 
Mmh tusidanganyane kuwahudumia wanawake wote ipasavyo sio rahisi.Lazima kuna watakaokuwa hawapew kipaumbele na kama hapewi kipaumbele it means kuna watu watakuwa wanasaidia hapo kati.Mke wa kwanza J3 Mke wa pili J4 mke wa tatu J5 mke wa nne Alhamis🤣🤣🤣🤣so kwa wastan kila mke once per week na wanawake hao ni watu wazima damu ni za moto mmmh!
 
akiwa na mke wa kwanza....

mke wa pili watatu na wanne wanakamuliwa

akienda kwa wa pili.... wa kwanza, watatu na wa nne wanakamuliwa

akienda kwa watatu: wa kwanza, wa pili na wanne wanakamuliwa

akienda kwa wa nne: wa kwanza, wa pili, na wa tatu watakamuliwa

halafu wakeze walivyo pisi sasa......

kuna watu watafaidi sambamba nae.......

NB

ni mtazamo wangu, povu kafulieni nguo
Pole

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
akiwa na mke wa kwanza....

mke wa pili watatu na wanne wanakamuliwa

akienda kwa wa pili.... wa kwanza, watatu na wa nne wanakamuliwa

akienda kwa watatu: wa kwanza, wa pili na wanne wanakamuliwa

akienda kwa wa nne: wa kwanza, wa pili, na wa tatu watakamuliwa

halafu wakeze walivyo pisi sasa......

kuna watu watafaidi sambamba nae.......

NB

ni mtazamo wangu, povu kafulieni nguo
Mtazamo wako umekaa kihusda sana, kwanini uwawazie hao wake zake kua wanazini???

Acheni hizo tabia mbaya.
 
Kasema hivii hutosheki na mmoja,una uhakika ukipewa 10 utatosheka?.. ndoa sio sex peke yake, ndoa ipo kuanzisha familia, kuanzisha familia na wake wanne utapata wapi nafasi ya kulea wanao vyema? ,,,ningekua nina akili za kusoma ningependa kujua watoto wa ndoa za mitala malezi yao yanakuwaje? Je hawaathiriki kisaikolojia na huu mfumo?
Mitume na manabii walikua na wake zaidi ya wanne.

Unapata wapi Nguvu ya kupingana na vitabu vyako vya dini dada rebbeca
 
Big mistake. Kwa umri alionao kipanya 50 wallah bed perfomance ipo low sana. Na ukute huyo mke ni under 35 jasho litamtoka. Atoe huduma kwa nyumba nne! Wallah lazima apewe tough na masela.
Huna ulijuwalo, ni bora ungeuliza uelimishwe.

Kati ya mtu mwenye kimke kimoja, unapewa unyumba kwa kupimiwa na malingo juu na huyu mwenye wake wengi, huyu mwenye wake wengi yupo vizuri zaidi kitandani kuliko mwenye mke mmoja.

Kipanya si mlevi, siyo mpiga fegi, ni ratiba nzuri tu ya chakula na mazoezini anapiga show show.

Kama hujui siri ya kuperfom vizuri kitandani ni pia uwe unapiga show kila siku ikiwezekana, dhakari inazoea hiyo kazi.

Aliyekuaminisha ujinga huo wa miaka 50 amekuingiza chaka.
 
Wanawake wana kazi sana, huyo dada anatabasamu pamoja na kuolewa mke wa nne, kweli tumetofautiana

Anyways, hongera sana kwake kwa kupata ndoa na kua mke namba nne, tunamtakia kila la heri
Fact ni kwamba ili wanawake wote duniani wapate waume ni lazima angalau kila mwanaume aowe wastani wa wake si chini ya watano.

Kwanza unafahamu fact hizi? acha ubinafsi.
 
akiwa na mke wa kwanza....

mke wa pili watatu na wanne wanakamuliwa

akienda kwa wa pili.... wa kwanza, watatu na wa nne wanakamuliwa

akienda kwa watatu: wa kwanza, wa pili na wanne wanakamuliwa

akienda kwa wa nne: wa kwanza, wa pili, na wa tatu watakamuliwa

halafu wakeze walivyo pisi sasa......

kuna watu watafaidi sambamba nae.......

NB

ni mtazamo wangu, povu kafulieni nguo
haimzuii mwanaume wa kislam kuoa wake wanne, la msingi awe financially stable.

hata huyo mmoja, akiamua kwenda kukamuliwa nje, anakamuliwa tu.
 
Back
Top Bottom