Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

Mke wa Kwanza ambaye alikuwa mama wa Marehemu Malcolm (sijui kama spelling ziko Sawa) walitalikiana miaka mingi mno. Walishirikiana tu kumlea mtoto mpaka alipofariki. Mke wa pili na wa tatu hatujui Ila inaelekea hawakujulishwa kuhusu ongezeko la mke maana mmoja alisema naye alishangaa kuona picha mitandaoni Tu. Hivyo tegemea twimbwili huko na huenda wakabwaga manyanga. Kifupi hakuna mwanamke anayependa Ku share mapenzi hata kama dini zinaruhusu. Hiyo ndiyo Hali halisi.
Tena ikizingatiwa Kipanya amemuoa binti mdogo ambaye alikuwa ni rafiki wa Malcolm au pengine ndiyo gear walitumia kufucha urafiki wao.

Eti tegemea timbwili,umeongea kwa uchungu.Pole sana na wewe utampata wako usijali.
 
Back
Top Bottom