Masogange na Melisa kuachiwa huru!!!!!!

Masogange na Melisa kuachiwa huru!!!!!!

Na jingine lililojiri ni hili..
kwa mujibu chanzo cha habari
toka kwa mtu wa karibu na familia ya Masogange
amesema msanii huyo hatohitaji mapokezi
yoyote pindi atakapowasili nchini kwa vile hao
wanaopanga mapokezi ndio wanafiki wakubwa.
Ambao walikuwa wanashangilia alipokuwa jela.

Sasa kwani walikua wanatarajia watu wamuonee huruma kwa upuuzi wake mwenyewe..na huyo atakaeenda kumpokea ni popompo tu kama mapopompo wengine..!
 
Dawa za kulevya na ufisadi wote hapa nchini vitakoma pale tu uhuru wa kweli utakapopatikana 2015
 
Kuna haja ya "wananchi wenye hasira kali" kuchukua hatua pindi akina masogange wakionekana mtaani ili heshima kwa Tanzania irudi.
 
Kuanzia leo natangaza kuwa PUNDA. Jamani nyie mnaotaka kusafirishiwa mizigo yenu, naomba mni-PM, niko tayari kuisafirisha.
 
mwanangu akifungwa kwa kesi ya ajabu ajabu naua m2 @#%#@'
 
Johannesburg.

Mtanzania Agnes Gerald, maarufu Masogange, ameachiwa huru na Mahakama ya Kempton ya jijini Johannesburg, baada ya kulipa faini ya R30,000 (Sh4.8 milioni) kwa kosa la kubeba kemikali zinazotumika kutengeneza dawa za kulevya.

Wakati Masogange akitozwa faini hiyo mwenzake, Melissa Edward ameachiwa huru na mahakama hiyo, baada ya kukosekana ushahidi wa kumtia hatiani.

Msemaji wa Kitengo cha Uchunguzi wa Makosa ya Jinai cha Afrika Kusini(Hawk), Kapteni Paul Ramaloko alisema Watanzania hao wameachiwa huru baada ya kuonekana kuwa hawakubeba dawa za kulevya, bali kemikali aina ya ephedrine.

Hata hivyo, Mahakama ilibaini kuwa, Melissa hana hatia kwa kuwa ilionekana kuwa amemsindikiza Masogange, ambaye alimwomba amsaidie kubeba mzigo huo.

“Mahakama iliona kuwa Melissa aliombwa tu kumsaidia kubeba baadhi ya mabegi, lakini hayakuwa yake. Mizigo yote iliandikwa jina la Agness Gerald na si Melissa,” alisema Kapteni Ramaloko.

Kapteni Ramaloko alisema, Melissa alijitetea kuwa hakuwa amesafiri pamoja na Masogange bali walikutana ndani ya ndege na Masogange alimwomba amsaidie kubeba mizigo hiyo, kwani ilikuwa mikubwa.

Kwa sheria za Afrika Kusini kubeba kemikali zozote ambazo zimepigwa marufuku ni kosa la jinai kisheria, hivyo mahakama iliamuru Masogange ahukumiwe kwenda jela kwa miezi 30 (miaka miwili na miezi mitano) au alipe faini ya R30, 000 (sawa na Sh4.8 milioni).

Hata hivyo, Kapteni Ramaloko alisema mdhamini wa Masogange alilipa nusu ya fedha na kwamba zinazobaki amalizie baadaye.

Alisema kutokana na kutomalizia kulipa fedha hizo ataendelea kubaki nchini humo hadi atakapomaliza kulipa nusu ya faini iliyobaki.

Masogange na mwenzake walipokamatwa na SARS ilielezwa walikuwa wamebeba dawa za kulevya aina ya

Methamphetamine, lakini Mahakama juzi ilithibitisha walikamatwa na kemikali aina ya Ephedrine, ambayo siyo dawa za kulevya.

Wakati Kamishna Mkuu wa Kitengo cha Kudhibiti Dawa za Kulevya nchini, Geofrey Nzowa alipoulizwa na Mwananchi Jumamosi juzi alisema mzigo walioubeba Masogange na mwenzake haukuwa ni dawa za kulevya bali ni kemikali za dawa za kulevya, lakini Msemaji wa Mamlaka ya Mapato ya Afrika Kusini, (SARS), Marika Muller alieleza kuwa timu ya SARS ina uhakika kuwa mabegi sita yaliyokamatwa Julai 5 ni dawa za kulevya aina ya Methamphetamine.

SOURCE: MWANANCHI
 
"nipo mbali na masogange... njoo utulize mtima wange"

hahah.. chezea pesa mazee.. utaumia!!
dizeli yawa maji yeny haruf
 
Wana Jf habari ni kuwa wale vinara waliokamatwa na mzigo mkubwa wa sembe huko SA wenye thamani ya 6.8 bilion sasa wataachiwa huru kwani imeonekana kuwa mzigo huo haukuwa ni madawa ya kulevya bali ephedrine ambazo haziko kwenye kundi la dawa za kulevya

Habari zinasema ephedrine ambayo inasemekana ndiyo waliyoisafirisha akina dada hao inaangukia ktk kundi la vibashirifu yaani dawa ambazo malighafi yake inaweza kutumika kutengeneza dawa za kulevya.

Hivyo basi kesi yao haina nguvu tena na wanatarajiwa kupewa dhamana wakati wowote kutoka sasa.
Source:Gazeti la Raia Mwema Sep.18, 2013

Huu ni mweleka wa hali ya juu sana aliopigwa Dr.Mwakyembe!!
Hakika imeniacha na maswali mengi pasipo
majibu!!!

Ikumbukwe kabla ya taarifa hizo mkuu wa kitengo cha kupambana na madawa ya kulevya Alfred Nzowa alienda SA kwa kile alichodai kwenda kuangalia kama watanzania hao wanatendewa haki ktk kesi yao!!!
Mimi nikajiuliza hivi wako watanzania wangapi wanaotuhumiwa na sembe China, Hong Kong na kwingineko, kwa nini huyu mkuu aende SA tu?????

Ni Nzowa huyo huyo baada ya kutoka SA alisema kuwa watuhumiwa wamewataja watu waliowatuma mzigo huo na ni mnyororo mrefu sana. Hivyo ataufanyia kazi. Ina maana watuhumiwa walitaja majina ya wauza apples!!!!

Lakini taarifa za nyuma zilisema kuwa watuhumiwa waliingizwa katika chumba cha mateso baada ya kutoonyesha ushirikiano kwa polisi SA wa kutaja wahusika wa mzigo. Lakini baada ya kuingizwa ndani ya chumba hicho walisema kila kitu!!!!!
Najiuliza, inamaana watuhumiwa waliteswa kabla ya kuthibitisha kwa uhakika mzigo walioubeba ndani kulikuwa na nini?

Hakika vita ya kupambana na madawa ya kulevya ni ngumu mno. Wampambanaji ndio wanaomiliki,wanaoratibu,wanaosafirisha,wanaosimamia na kuendesha biashara hiyo ya sembe.

Ni lini Tanzania italivalia njuga kwa dhati tatizo la dawa za kulevya????

========================
UPDATE
========================

Wadau,

Najaribu kufikiria huku kuachiwa huru kwa Melisa na Masogange huko Africa Kusini kutaleta impact gani hapa Tanzania. Kwani madawa waliyokamatwa nayo yalishawahi kuwakamatisha wengine hapa nchini na kwengineko na kesi bado zinaendelea mpaka leo.

Wachache wanaweza kua wanamfahamu Mwanadada SAADA ALLY KILONGO, mdada wa Kibongo ambae ni mhitimu wa Chuo cha Ustawi wa Jamii pale Bamaga, DSM ambae pia ni rafiki wa wasanii mbalimbali na maceleb wa bongo. Mwanadada huyu aliwahi kukamatwa uwanja wa ndege wa JKNIA akiwa anasafarisha dawa hizi hizi za EPHEDRINE na kufikishwa mahakamani mnamo tarehe 29 June mwaka huu pale ya Kisutu. www.sintah.com: POOR SAADA ALLY KILONGO

Hukumu hii ya Masogange inazua walakini na maswali mengi kuliko majibu.
Je madawa haya yameruhusiwa kisheria mradi mtu ujiandae na hela tu ya faini?
Je uwepo wa sheria tofauti katika nchi tofauti unawza ukawa chanzo cha kusambaa kwa usafirishaji wa haya madawa?
 
Kitakachofuata ni kusaini mikataba 19 na Afrika Kusini kama alivyofanya mchina baada ya kuombwa aachie watuhumiwa wenye maslahi kwa wakubwa.
Tanzania removes visas for South African visitors
Johannesburg.
View attachment 115786
SA+Passport+Clip.jpg
A man holds a South African passport. The first secretary of the Tanzania High commission in South Africa, Mr Habib Mohamed, said the decision to remove visas for the two countries was to reciprocate a similar move by the SA govt after discussions that involved officials from both nations.

South African travellers wishing to visit Tanzania for holiday or business have been exempted from applying for a visa for stays of up to 90 days, the Tanzanian High Commission in South Africa announced on Monday.

The exemption applies to South Africans holding ordinary passports who wish to visit the United Republic of Tanzania for holiday, private and official business purposes and those in transit.

The visa exemption applies for 90 days. The decision to exempt South Africans from visa requirements took effect in the beginning of July this year.

The first secretary of the Tanzania High commission in South Africa, Mr Habib Mohamed, said the decision was made on reciprocity purposes after discussions that involved officials from the governments of the two nations.

Being a member of the Southern African Development Community, Tanzanians visiting South Africa are also exempted from visas for 90 days.

Earlier in an interview, the Tanzania high commissioner to South Africa Radhia Msuya said the two countries were in discussions on how to improve their relationships, with the recent agreement being on exchange of information on different issues such as the economy, tourism, immigrants and prisoners.

"We have now embarked on what we call a bination commission, which is the highest level of co-operation amongst ourselves … It covers all the areas involved in our co-operation," Msuya said.

She said the agreements between the two countries were being implemented through a joint permanent commission that was tasked to work on economic issues, trade, diplomacy, tourism, and social and political issues.

The ambassador said that, at the moment, there was a group of South African youths travelling to Morogoro every year to learn of the relationship between the two nations.

"I wish the youth of Tanzania could also do the same. I would really want young people coming to South Africa to learn more about the history of the two countries and not come here to loiter and become destitute," she said.

She said the relationship between the two countries, has been benefiting both sides and that the government of two countries were determined to improve it.

"You will know that Tanzania's foreign policy is anchored on promoting independence, self-determination, regional integration and subsequently, socio-economic development. So our bilateral relationship is very good.

Source: The Citizen

Attachments

Tanzania removes visas for South African visitors
Johannesburg.
View attachment 115786
View attachment 115794

Mkuu, kwa ku-connect dots nimekukubali... Huenda huu ni mwanzo tu, tutegemee kuona mengi zaidi..
 
Mara nyingi mwisho wa madawa ya kulevya hua mbaya,drugs smuggling from TZ to S.A ni common sana,hasa kuwatumia wasanii na watu maarufi
 
Back
Top Bottom