Unaemtukana nani!!!!!!!!!why cant u argue WISELY..........
JF imekuwa home of great Sinkers
My dear, nahisi hizi ni hasira tu za watu (though haijastifai kutukana)....manake hata sioni ni nani anarushiwa hilo tusi...walioleta habari au wale waliowatoa (manake hao ndio waliostahili labda)...