Masogange na Melisa kuachiwa huru!!!!!!

Masogange na Melisa kuachiwa huru!!!!!!

wale waliofukuzwa inabidi Mwakyembe awalipe fidia na usumbufu walioupata,wakimbie mahakamani haraka iwezekanavyo
 
Remmy aliimbia ni kifo pekee ndio hakiwezi kuhongwa. Kwa kifupi kila binadamu anayeishi duniani ana bei. Ukielewa hivyo wala hupati shida
 
Kama sinema vile, issue imetikisa nchi na hata dunia leo hii inaisha kilaini namna hiyo, hii ni nguvu ya pesa.
 
Ok anakibali cha kufanya hiyo biashara? Tfda mnajua? Kumbe kuna vyanzo vingine vya mapato tunaviacha tuu
 
Masogange ameachiwa kwa usalama wa taifa vinginevyo wakubwa wangeumbuka! vita dhidi ya madawa ya kulevya ni kitendawili tu!
 
Na jingine lililojiri ni hili..
kwa mujibu chanzo cha habari
toka kwa mtu wa karibu na familia ya Masogange
amesema msanii huyo hatohitaji mapokezi
yoyote pindi atakapowasili nchini kwa vile hao
wanaopanga mapokezi ndio wanafiki wakubwa.
Ambao walikuwa wanashangilia alipokuwa jela.



NO COMMENT..ila nna kidokezo tu..eti kwani we unaeisoma hii ulikuwa unataka ukampokee? Muulize na jirani yako hapo kama na yeye alitaka akafanye hivyo!! Maana mi kila nna muuliza anasema aggy mwenyewe kamjua kwa hili saga na anaweza akapishana nae na asimjue..hayaa wale watakaoenda kumpokea mtoto wa mheshmiwa sijui first lady mje na picha
 
Hii movie hata Mel Gibson angechemsha......

Viongozi wa Tz ni ...........

Heri kama wamewadunga sindano za sumu wafe taratiiiibu.
 
This is Africa! ukikurupuka waweza kuaibika na kuomba ardhi ufunguke ikufiche. Watu waliofukuzwa kazi na kuathirika kwa jinsi yoyote ile kwa ajili ya mzigo wa masogange inabidi warudishwe na kulipwa fidia!
 
Nani ana mzigo wake wa Ephedrine nimpelekee kwa mbeki? Kumbe haina noma!! Tulikuwa tunaogopa tu bure.

Ephe inabebwa na maafisa wa taasisi za afya husika au cargo and worldwide carriers

kamwe haitabebwa na wauza sura wa fb,malembukeni wa pesa na failures

'Mkuu wa idara ya mapato ameshikilia walikamata krystal hata baada ya hukumu'
 
eee bwana , ngumu kumeza . hii ndiyo genge la YAKUZA naona labda tanzania lipo , yaani madawa yalitoweka au yalibadilika duu!!!!!!, kazi ipo, mwakyembe achana na hii vita naona kabisa ni ngumu
 
Hii movie hata Mel Gibson angechemsha......

Viongozi wa Tz ni ...........

Heri kama wamewadunga sindano za sumu wafe taratiiiibu.

Ha haaaa..Habari inasikitisha lkn umefanya Nicheke. . Movie mwanzo hauleweki..Mwisho haueleweki Tz..🙁
 
Point yako nini hapa watu wanongelea Agness wewe unaleta habari za tindikali au unataka kusema Masogange yeye ndio muhusika wa tindikali?

Nimeamini wewe binti sterling! Tangu picha ilivuoanza ulikuwa unatukebehi vile ulijua mpaka mwisho sterling hauwawi! Sawa bana!!!
 
simple logic
mzigo ulikuwa wa sh 6BILION.
Mshahara wa majaji na mahakimu walisikiliza kesi ni sh ngapi kwa mwezi?
Mshtakiwa analipa faini ya 4.8m na mzigo unakuwa mali ya mahakama.
Unganisha dot
 
Kila nikimuangalia kaka yangu ambaye ni teja nazidi kumchukia Masogange.....ningekuwa na Gun ningemtoa duniani mbwa yule...
 
Mwakyembe awaludishe kazini wale aliowafukuza kwa issue ya masogange, awape na fidia kwa kuwadhalilisha.

Wewe una akili sawasawa kweli.? Ama na wewe ni muhanga wa hili.? Hao wasichana wamekutwa na kosa ndio maana wakatozwa faini ama kwenda jela miaka miwili. So kulipa kwao faini hakubatilishi kuwa walikuwa na kosa, hata hiyo epherdine ambayo imekutwa kwa kupigwa buu baa ni haramu na haifai.
 
Olesaidimu hata mimi huyo wema kanichosha! Hiv ameshindwa kujizuia kabisa kuonyesha personal interest yake? Naona ana ka-share na lile sembe.
 
Back
Top Bottom