Masogange na Melisa kuachiwa huru!!!!!!

Masogange na Melisa kuachiwa huru!!!!!!

Msitoke povu tusubiri serekali ya south africa tuone wanasemaje gazeti limekuja na habari lakini tusubirini inaweza kuwa sio habari za kweli tuwe na moyo wa kusubiri
Mkuu huamini magazeti? Lisemwalo lipo kama halipo linakuja...
 
Nazidi kuamin nyuma ya Agness kuna mkubwa.. tena makubwa SANA TU.........

Hiv Mwakyembe na mbwembwe zote zike hadi kuwafukuza kazi wale watu Looh
 
Ukifanikiwa mkuu nijulishe na mimi mkuu! If you cant change the system then join it!




Will definitely let you know, maana sasa hapa bongo maisha yamekuwa ni ya mkato tumesoma ila tunaonekana mafala.... standard 7 failures ndiyo mabilionea wetu, dah nchi hii kwa kweli CCM inairudisha nyuma.
 
Kwanza Mwakyembe anatakiwa a step down kwakukurupuka na kufukuza watu airport bila kuwa naushahidi wakutosha pole yako na aibu kubwa ulioipata kwakukurupuka
 
Nyie pumbaf zenu hakuna alie toka . Wako ndani hao. Eti sio unga afu watapewa dhamana. Dhamana ya nini wkt sio unga..wavivu wa kufikiri nyie
 
Labda waje kwa basi, Mwakyembe keshasema hawaruhusiwi kukanyaga airport au bandarini
Wasikanyage kwa kosa gani kubwa mkuu? Mbona hata wahaini na wahujumu uchumi wanatumia AIRPORT?
 
Inasemekana wamenyimwa dhamana,na kauli mbona inajichanganya,watapewaje dhamana badala ya kuachiwa huru kama hivyo vitu walivyokamatwa navyo haviangukii kwenye madawa ya kulevya?
 
Am speechless,hii nchi ni ya wahuni sana kuliko tunavyofikiria

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Pole sana Mkuu, ila wahuni zaidi ni mimi na wewe tulioichagua serikali hii. Next time 2015 tusirudie kosa hili
 
kama mwakyembe atakubali kuendelea kuwepo ccm.....atakuwa kalogwa....

Kajifunza kwa Mzee wa Kiraracha Mrema!!,! Yuko wapi saa hizi, CCM walimfix vibaya sana!! Baada ya kunyooshwa ndiyo kapewa kijimbo angalau apate za mboga!! Chezea CCM weye!!
 
Will definitely let you know, maana sasa hapa bongo maisha yamekuwa ni ya mkato tumesoma ila tunaonekana mafala.... standard 7 failures ndiyo mabilionea wetu, dah nchi hii kwa kweli CCM inairudisha nyuma.

Umeliona hili eee? mimi vyeti nalalia kwenye godoro na vingine vimepauka kwa kutundikwa ukutani. Bora kujifanya f.a.l.a. kumtumikia kafiri tupate mradi wetu mkuu!!!
Tunapiga kelele kumbe siyo cocaine ni "ephedrine".
na "piritones"! Wacha tupige mzigo na sisi bana!
 
Back
Top Bottom