Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Aisee.....
Sishangai sana maana JK mwenyewe ni kama kaihalalisha hii issue ya Sembe
Sishangai sana maana JK mwenyewe ni kama kaihalalisha hii issue ya Sembe
imechorwa na mtu mmoja ambaye sidhani kama ana hata certificate, badala ya vyuo vyetu kumtunuku na japo kadiploma wanagawa PhDs kwa watu ambao sio!
..........
Ni lini Tanzania italivalia njuga kwa dhati tatizo la dawa za kulevya????
Kwanini hufurahi mtanzania mwezetu kuachiwa huru?
uwe macho tu na kampuni itakayokuajiri, vinginevyo utasota na kufia china/hongkong kama wenzio ambao wamepata ajira kwenye kampuni zisizo na hati miliki
Ngoja tusubiri waje wafanye sherehe kubwa wakirudi nchini Kikwete akiwa mgeni rasmi pale Mlimani City. Jamani kwei rais tunaye, alighairisha safari yake BK na kuunganishia SA mara alipotonywa washikaji wa Ridhiwani wamekamatwa huko SA na anahitajika yeye aende kuwaokoa. Ngoja nami nimtafute Ridhiwani nijiunge na chama chake huku refa akiwa baba wetu wa huruma (taifa) JK.
Ati nini?
Ndugu Tanzania ni zaidi ya tuijuavyo sasa ina maana hata waliofukuzwa kazi Airport hawana makosa itabidi warudishwe kazini pia wamshitaki mwajiri wao kwa kuwadhalilisha.Nimechoka kabisa!!! ngoja niende cafeteria nikamalizie hasira zangu huko. Ndugu yangu mtanzania unayesoma uzi huu, wewe unaambiwa uwe mzalendo wakati hao hao wanaohubiri uzalendo wanashindwa kuishi katika maneno yao.
Tuishi kwa kuwasikiliza halafu tutende kama tunavyoweza na kama tunavyojisikia na pia kama ina maslahi upande wetu tu.
Wengi kabla hawajaingia kwenye system husema kama wewe lkn mara waingiapo huko hugeuka na kuwa watu tofauti lbd tumuombe Mungu wewe utakua wa tofauti.Kwa maoni yangu watumiaji na wauzaji wa poda wote wanyonge bila ya kuangalia sheria ya kubembezana! Nitakapo kuwa mjengoni wajue ndyo mwisho wao!
Sidhani kama ingeshindikana kuwatoa hata huko.Bahati yao hawakukatiwa China.