Maskini Wakichagua "viatu kuu-kuu" Mtaa wa Kongo - Kariakoo

Siku moja nikasogea kwenye hii chagua chagua pale Buguruni sokoni bus stand pale, Kwa Mnyamani. Kwa kweli viatu vilivyokuwa vimemwagwa pale siyo viatu ile ni uchafu!!

They never worthed kupanda Meli visafiri umbali wote ule na vishughulishe watu wetu kuwa eti wako kwenye biashara!
Mamlaka zina haja ya kuweka some minimum limitations kwenye what do we allow to be imported as used products.
Kuna viatu vinaitwa mafua, yani ni serembua, vinauzwa elfu mbili tu na machinga wannunua na kuviwekea gundi na kuuza elfu 20 maeneo ya vyuo na kwenye baa usiku ili mteja asione sehemu zilizofanyiwa marekebisho.

tuna kiwanda cha BORA BORA, BATA BATA, MAGEREZA , WOSO ORIGINAL PRODUCTS, WALKAROO na vyengine kibao lakini tunaletewa makombo ambayo infact ni dampo na si kwamba wanatuletea ili kuvaa.

Sijagusia chupi za kike na chupi za kiume!
View attachment 3352662
Hata hudyo dada mwneye waving, mkoba mweusi blauzi nyeusi na suruali BANA BANA haoni aibu au naye maskini
 
ha ha ha ha ha astaghafuflulah, khaa! serembua hizo ni elfu tatu tatu.!
 
Huku kwetu imekuwa ni dumping site ya bidhaa ambazo wamezichoka huko kwao.
By the way mitumba inatuokoa sana maana kuafford genuine products ni mtiti.
FLANA MPYA YA MCHINA , KARIAKOO BEI YA CHINI NI 5000 WAKATI MTUMBA NI BEI HIYO AMA ZAIDI, KWANINI TUVAE MANGUO YALIYOOZA?
 
Siku moja nikasogea kwenye hii chagua chagua pale Buguruni sokoni bus stand pale, Kwa Mnyamani. Kwa kweli viatu vilivyokuwa vimemwagwa pale siyo viatu ile ni uchafu!!

They never worthed kupanda Meli visafiri umbali wote ule na vishughulishe watu wetu kuwa eti wako kwenye biashara!
Mamlaka zina haja ya kuweka some minimum limitations kwenye what do we allow to be imported as used products.
Kuna viatu vinaitwa mafua, yani ni serembua, vinauzwa elfu mbili tu na machinga wannunua na kuviwekea gundi na kuuza elfu 20 maeneo ya vyuo na kwenye baa usiku ili mteja asione sehemu zilizofanyiwa marekebisho.

tuna kiwanda cha BORA BORA, BATA BATA, MAGEREZA , WOSO ORIGINAL PRODUCTS, WALKAROO na vyengine kibao lakini tunaletewa makombo ambayo infact ni dampo na si kwamba wanatuletea ili kuvaa.

Sijagusia chupi za kike na chupi za kiume!
View attachment 3352662
Hawa si masikini, wangekuwa masikini wasngejenga jengo la bil.64! Na ni la kwanza kwa uzuri Afrika na duniani kote.
 
Kuna siku niliongea na wauzaji wa Chupi na taulo wakasema wanayoyakuta humo ni bora zipigwe marufuku tu,watu wameacha vinyesi na damu za mwezi humo inabidi wafue au watupe tu
Ndo maana sijawahi kuwaza kuvaa vitu hivyo...bora chupi za,mchina zichanike ndani ya mwezi kuliko kuvaa hizo na sidiria sijui mara mataulo llol...
 
Hawa si masikini, wangekuwa masikini wasngejenga jengo la bil.64! Na ni la kwanza kwa uzuri Afrika na duniani kote.
HAO WANUNUZI WA VIATU VILIVYOOZA ULAYA MAFUA SIYO MASKINI? KWA HESHMA NA TADHIMA TUJUZE MASKINI NI AKINA NANI MAANA TANZANIA NI MOJA YA NCHI MASKINI KABISA DUNIANI, NI AKINA NAI HAO?
 
Masikini wanawezaje kujenga ofisi nzuri kuliko zote Afrika na duniani.
 
Maskini hao wanaonunua maserembua ya wazungu ama unazungumzia MASKINI anayekaa MASAKI na ofisi posta huku akitembelea LAND CRUISER LX 4000 ya milioni 600?
Kama ni maskini huyo wa Masaki, sawa, anaweza kujenga hata ghorofa ambalo hakuna kama hilo Afrika.
 
mumewatengeneza kuwa masikini wenyewe
 
Kuna siku niliongea na wauzaji wa Chupi na taulo wakasema wanayoyakuta humo ni bora zipigwe marufuku tu,watu wameacha vinyesi na damu za mwezi humo inabidi wafue au watupe tu
Dah! Umasikini ni laana. Nikipata pesa kitu kinachoitwa mtumba kamwe sitosogelea.

Halafu watanzania tunadanganyana ati begi au kiatu cha mtumba kinadumu. Kwa nini tusitafute original chake tununue kikiwa kipya.
 
Mkuu acha basi umenivunja. mbavu kusema kweli.
Pole umeandika kwa uchungu sana .
Nishakwendaga karume nikakuta jamaa analalamika robota la nguo alilofungua sio kabisa kwamba halina kitu cha maana.
Ukweli kwenye mitumba tunaletewa vitu vingine ni vya hovyo sana
 
Hata hivyo ndio uwezo wetu. Hata magari ya mtumba ndio tunatambiana kuwa ni mapya kutoka Japan.
 
Wewe kama umefika huko Buguruni ukasogea kwenye hiyo sehemu ya mitumba bado ni maskini fukara. Bora hata ungesema chupi za mtumba zipigwe marufuku kuliko viatu. Ni watanzania wachache sana wanaoweza kumudu kununua original products. Hizo raba zinazouzwa Kkoo na kina David Sportswear ni mtumba uliofanyiwa marekebisho. Simu karibu zote ni refurbished. Tupambane dhidi ya umaskini badala ya kunyoosheana vidole wakati wote tupo level moja.
 
Back
Top Bottom