Maskini RFA, ndiyo kwaheri hivyo

Hahaha huyo tajiri wa makongolosi Chunya .....utamsikia baba mzazi baba.... Piga kazi baba ...eee baba
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ™awapige jeck sasa 🀣🀣🀣🀣
 
Enzi za R.F.A

Mtangazaji: unaitwa nani
Mwili obare:naitwa Mwili obare kutoka musoma Mara
Mtangazaji: mwili obare

NaaaaaΓ aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaΓ aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaammm

Yani jamaa alitika mpaka radio Betri zikaisha.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanaanzisha radio kama vile Whatsapp group itakufa kirahisi pia, anyway RFA imedumu kivyake. Redio nyingi sana zitakufa miaka 10 ijayo zitabaki zile kongwe tu.
 
Reactions: SDG
Kikwete alimwambia Magufuli asimtupe Diallo. Naona Magu hana habareee,biashara ya radio ni ngumu siku hizi. Radio zimekuwa nyingi kama utitiri. Dallo alitegemea ujanja ili aendelee ishi radio yake. Serikali nayo imemshika pabaya. Atakufa kwa pressure huyu Baba.
 
Wanaanzisha radio kama vile Whatsapp group itakufa kirahisi pia, anyway RFA imedumu kivyake. Redio nyingi sana zitakufa miaka 10 ijayo zitabaki zile kongwe tu.

Hayo ni mawimbi tu ila hayawezi kuzamisha chombo. Bahari itatulia itarud kweny hali yake.
Ofcoz i love it, i like it
 

Huyu bwana sema kawa rigid. Hatak ku adopt new techniques to cope with the current situation. Sijua anakwama wapi huyu mzee
 
RFA ilikuwa bonge la Brand ndugu yangu.
Ukija KISS FM huku ni Kibepari tu wanabonga.
Leo RFA ya kuwa na watangazaji watano???!!!!
 
Yupo clouds fm kwenye Power Breakfast.
Though nahisi hajafit.
Hivi fred waa sikuhizi yupo wapi? Namkubali sana yule jamaa
Pia kuna kile kipindi cha sitasahau cha fredrick bundala(sky walker)
 
Inasikitisha sana, mimi bado nasikiliza watanzania tuongee magazeti, nayo mara matangazo yakatike, yaani ni shida, radio ilikuwa ya mfano hii jamani kwa vipindi vyake vya kueleimisha
 
RFA ilikuwa Zamani!Kweli kila lenye Mwanzo Lina Mwisho
 
Kuna kitu mnakosea sana, ingawa ntakutaka radhi.
Mimi katika kuchangia nimeangalia avatar pict yako, sikuangalia profile.

Sasa mkuu nawee nae! Kwanini uweke picha ya kimwana? Mnatuchanganya bana!

πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Ww mwenyewe kutumia avatar ako nkikuuliza nyie mabeberu kwa nn mlituibia maliasili zetu? Utajibuje?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…