tusipotoshane
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 730
- 693
Duuu, Hahahahaha, mna misemo kweli,sio matanki mawili kifuani ya tenda?Ana matiti makubwa kama ya maserati mcheza porno yule akimpiga nayo mtoto haamki mazima
Duuu, Hahahahaha, mna misemo kweli,sio matanki mawili kifuani ya tenda?Ana matiti makubwa kama ya maserati mcheza porno yule akimpiga nayo mtoto haamki mazima
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙏🙏awapige jeck sasa 🤣🤣🤣🤣Hahaha huyo tajiri wa makongolosi Chunya .....utamsikia baba mzazi baba.... Piga kazi baba ...eee baba
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Enzi za R.F.A
Mtangazaji: unaitwa nani
Mwili obare:naitwa Mwili obare kutoka musoma Mara
Mtangazaji: mwili obare
Naaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaammm
Yani jamaa alitika mpaka radio Betri zikaisha.
Mchawi ni CCMAkili za wachawi hizi!!
Je kama anataka kulelewa, itashindwaje kwa mfano?
Wewe mwenyewe shahidi, haujawahi kufukuziwa na vivulana, ukakereka hadi ukaenda kuvishitaki kwa mama zao?
Wanaanzisha radio kama vile Whatsapp group itakufa kirahisi pia, anyway RFA imedumu kivyake. Redio nyingi sana zitakufa miaka 10 ijayo zitabaki zile kongwe tu.
Waweke hata muziki .
Hii radio sijawahi sikiliza, takriban miaka 5 sasa
Kikwete alimwambia Magufuli asimtupe Diallo. Naona Magu hana habareee,biashara ya radio ni ngumu siku hizi. Radio zimekuwa nyingi kama utitiri. Dallo alitegemea ujanja ili aendelee ishi radio yake. Serikali nayo imemshika pabaya. Atakufa kwa pressure huyu Baba.
Inasikitisha sana... nakumbuka enzi nikiwa kachalii nilivipenda vipindi vya RFA kama vile Sindano 5 za moto by Fred Waa, Show time, Weekend Fever, Search Line, Je wajua? na Michezo.
Ukisikia Neeeeews ..sauti za watangaza news zilikuwa nzuri na makini sana...
God!
Kuna kitu mnakosea sana, ingawa ntakutaka radhi.Ww jamaa mm sio shoga. Duh
Hivi fred waa sikuhizi yupo wapi? Namkubali sana yule jamaa
Pia kuna kile kipindi cha sitasahau cha fredrick bundala(sky walker)
Mimi nilikuwa napenda kipindi cha matukio.mm nilikiwa nakipenda sana kipind cha magazet sa 12 na nusu asbh na dw na bbc jion na sa saba mchana
Inasikitisha sana, mimi bado nasikiliza watanzania tuongee magazeti, nayo mara matangazo yakatike, yaani ni shida, radio ilikuwa ya mfano hii jamani kwa vipindi vyake vya kueleimishaKinachoendelea kwenye radio Free Afrika ni huzun kwa kweli, watangazaji wanabadirishana kutwa hao hao.
Cha ajabu jioni hii nahisi wamefanya mgomo, mara baada ya matangazo kutoka DW Radio hakuna aliyebadili station au kuingia hewani, ni ule mlio wa DW radio ndiyo unaendelea mpaka muda huu.
Hata jamaa yangu aliye Arusha ananipigia akisema hiki.
RIP RFA.
RFA ilikuwa Zamani!Kweli kila lenye Mwanzo Lina MwishoKinachoendelea kwenye radio Free Afrika ni huzun kwa kweli, watangazaji wanabadirishana kutwa hao hao.
Cha ajabu jioni hii nahisi wamefanya mgomo, mara baada ya matangazo kutoka DW Radio hakuna aliyebadili station au kuingia hewani, ni ule mlio wa DW radio ndiyo unaendelea mpaka muda huu.
Hata jamaa yangu aliye Arusha ananipigia akisema hiki.
RIP RFA.
4. Michael NoelWatangazaji wamebaki
1. Wambura Mtani
2. Felista Kulujirwa
3. Faustine Staphano
4.
5.
Yaani sijui wapo watano tu.
Kuna kitu mnakosea sana, ingawa ntakutaka radhi.
Mimi katika kuchangia nimeangalia avatar pict yako, sikuangalia profile.
Sasa mkuu nawee nae! Kwanini uweke picha ya kimwana? Mnatuchanganya bana!
Ingekuwa mimi ndo mmiliki ningebadili frequency na brand kisha kuja kivingine