Waarusha unawajua?Karibu Moshi, Arusha & Babati huwez skia hayo mambo
Wameru je?
Waarusha unawajua?Karibu Moshi, Arusha & Babati huwez skia hayo mambo
Wapi nilimkubali?? Umeelewa lkn au wakukurupuka1Ko wakati unamwambie yeye ni HB hukuona chogo.. wanawake bana
Out of topic, hukumpa mzigo?
Ila ilo jina ulilonibatiza linanichekesha 🤣🤣🤣Ndio hapo!!. Nitakuita ma Fred
Sasa ww kikatiti umefata nini?Waarusha unawajua?
Wameru je?
Basi kana sio wewe week end nakuchukua uje uonane na huyu huku🤣Ila ilo jina ulilonibatiza linanichekesha 🤣🤣🤣
Au sing'isi pale 😄Sasa ww kikatiti umefata nini?
Yani kila kitu umekosea hakuna hata ulichopatia 😂😂Basi kana sio wewe week end nakuchukua uje uonane na huyu huku🤣
Nawe uoga wako tu,wapotezee ishi maisha yak🤨Hamna mtu mwenye roho mbaya kama masikini Nakwambia hakika ! Kama unabisha bisha tu!
Kuna mambo mengi mabaya nimeyaona !!
Sina hamu na masikini mmiView attachment 2890746
Hujamkosea kitu Anataka Akuroge!
Huna ugomvi nae anakuchafua na kukufanyia fitina ili maisha yasiende.
Kuna sehemu nimejenga Navosumbuliwa utafikiri tuna ugomvi na niliowazunguka.
Visaa ni vingi
Jenga maeneo mazuri sasa unaacha pazuri kisa unapunguziwa 250k kwenye bei ya kiwanjaAu sing'isi pale 😄
Jpl si keshokutwa tu nakufuata uje .🤣Yani kila kitu umekosea hakuna hata ulichopatia 😂😂
Siri yanguUna viwanja au nyumba ngapi mpk sasa?
Mwaka unakimbia huu bado siku 11 nianze ku view status za wapendanao 🤣🤣Jpl si keshokutwa tu nakufuata uje .🤣
Mimi nikitaka nakuchukua kiulaini tu bila shida yoyote na Wala situmii ndumba na siku zinazofuata utakuja mwenyewe kuhitaji huduma na siyo Kwa sababu ya mizizi la hasha ni utundu wa namna na ukizingatia wewe NAMI ni jinsia tofautiMbona comment yako imenifokea sana.??
Vipi kwema?? Eeee! Sijaolewa bado 🤣🤣🤣
Tutaji post tukiwa shambaMwaka unakimbia huu bado siku 11 nianze ku view status za wapendanao 🤣🤣
Kha! Jailah ole mwane palangwii 🤣Mimi nikitaka nakuchukua kiulaini tu bila shida yoyote na Wala situmii ndumba na siku zinazofuata utakuja mwenyewe kuhitaji huduma na siyo Kwa sababu ya mizizi la hasha ni utundu wa namna na ukizingatia wewe NAMI ni jinsia tofauti
Nyie mahindi mjipost mkiwa shambaTutaji post tukiwa shamba
ParachichiNyie mahindi mjipost mkiwa shamba
Naunga mkono hoja kabisa japo hata mimi nii hohe hahe. Ila huwa nikiwaambia ukweli wanaishia kunizodoa kuwa najifanya sana ila hali ni kweli tuna roho mbaya sana.