Masikini wana roho mbaya sana! Kaa nao mbali

Masikini wana roho mbaya sana! Kaa nao mbali

Sisi masikini kwanza ni wachawi na maendeleo hatupendi. Mtu akijaribu kufanya maendeleo anakuwa ametudharau na anageuka kuwa adui. Kwanini sasa unafanya fanya maendeleo na umekuta sehemu hamna maendeleo? Unajikuta nani kwa mfano? Lazima tukuroge tu.
😁😁Unakuta mtaa mzima aliyesoma sana kaishia kidato cha nne,Halafu kuna familia inataka kujitutumua kusomesha mtoto kidato cha tano,Tunaroga ukoo mzima .
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna mama nilimsaidia km mama yangu kutokana na hali duni aliyokuwa nayo…!!
Asianze kunifanyia shirki ili niolewe na kijana wake..!! Kijana mwenyewe wa hovyo.!!
Nilipoona km haeleweki nilimtimua nikamwambia mama mi mkinga usijichanganye siku nyingine
Mkinga? Mama Sangaaaaa. Jirani huwa nakufananisha sana[emoji16][emoji16]
 
Hamna mtu mwenye roho mbaya kama masikini Nakwambia hakika ! Kama unabisha bisha tu!

Kuna mambo mengi mabaya nimeyaona !!

Sina hamu na masikini mmiView attachment 2890746


Hujamkosea kitu Anataka Akuroge!
Huna ugomvi nae anakuchafua na kukufanyia fitina ili maisha yasiende.

Kuna sehemu nimejenga Navosumbuliwa utafikiri tuna ugomvi na niliowazunguka.
Visaa ni vingi
Kwan ww pia si masikin?au ni nini kimekufanya uone uko tofaut nao je ni kazi,gari au nyumba au vyote kwa pamoja ila ww pia ni masikin kama wao mnazidiana tu
 
Nyie watu mtakua mazwazwa hadi lini? Hakuna ushirikina. Kuamini umelogwa ni ugonjwa wa akili, you need help than hao mnaosema wanga.

Mnapuyanga wenyewe badala kutafuta solution mnakimbilia cheap excuses eti mmelogwa, ulogwe kwa kitu ambacho hakipo. Africa bado sana, ujinga umewaganda vichwani.
 
joke, wachawi wao wanataka kuona sehemu ipo hivo hivo labda kwa kjfikiri kwamba kuleta maendeleo kutaleta hatari ya wao kuendelea kufanya mambo yao
Kufanya maendeleo sehemu ambayo haujakuta maendeleo kwetu sisi masikini ni kama dharau.

Kwanza nikupe siri? Sisi ndio tunamiliki viwanja, ila kabla hatujauza inabidi tujue unafanya kazi gani. Sio tukuuzie kiwanja ujenge kasri liishe ndani ya mwaka mmoja.
Yaani sisi tunataka tukikuuzia kiwanja ukijenga tu msingi upotee kama miaka saba ndio uje upandishe tofali.

Hatutaki watu wa kutufokea kwa ujenzi wa haraka haraka eti nyumba iishe ndani ya mwaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom