Masikini my ex, kweli malipo ni hapahapa duniani

hapo wewe ndio una maamuzi ya mwisho ila mie ni 1directioner, always forward. tukitosana ujue hakuna kurudiana, maana kama mambo yalishindikana wakati ule unadhani sasa hivi yatawezekana?

Kazi ipo mkuu!
 

Mkuu wewe mwanamke akikuambia ameachwa kisa kakuona uko pazuri huwa unamwamini???Hapo red, ni kwasababu ya matunzo ya mwanaume aliyenaye kwasasa!!Kifupi uyo sio wa kuoa, tena wala hakupendi maana asingekuacha Uyo ni mwanamke mwenye tamaa ya macho tu...kama unabisha we mrudie uone kama hatokuacha na kumtafuta uyo rafiki yako anayemiliki iyo Range pindi atakapogundua wewe si yako
 
weka nae miadi mara nyengine...azima Nissan match uone ata react vipi....Ni vizuri kua na mke dokta..kwa mustakabali wa watoto!....ila sio dokta matamaa
Du tumeshafika kwenye kuchagua mke kwa taaluma ....kama ni hivo hata huyu alitendwa akatendwa aolewe tu!
 

hahahahahah umenifurahisha sana kiongozi yani comment yako inaonyesha kabisa mtu akikwambia usirudiane nae itakuwa ugomvi sasa fanya hivi nenda kampime vvu,cheki kama buti liko pouwa then uzame kwenye penzi upya ila kwa mimi hapo duuh nachapa mwendo 180 ngorika, coz huyo paka mapepe tayari na ukirudiana nae anajua unampenda sana.
 

Mkuu maneno mazito sana haya
 
Alivyokumwaga ndivyo atakavyokuja kukumwaga kumbuka sasa yuko kama kile kifo cha Nyani akipata pa kukamata GOOD BAI MAI BROTHER
 

Hahahaa

Umenichekesha sana mkuu...
 
Haya mZee wa marange


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huhitaji kuwa na PHD kwa hili kwani hapo hamna kitu, kwa ulimwengu wa digitali huu namba yako anaijua, facebook, sijui insta...nini kote kama angekutafuta angekupata in advance kabla hata ya kukutana na vogue
 

Acha kumshambulia mwenzio na kumuita mbulula. Huwezi jua mbulula ni nani kati yako na yeye. Mi nimesoma uzi mara 1 tu lakini nakumbuka amesema girl yuko Muhimbili, sasa sijui wewe Mlimani umeitoa wapi. Halafu sijajua unawezaje kukadiria umri wa mtu kwa kuangalia gari aliloazima au kumiliki. halafu sijui inawezekana vipi kukadiria umri wa mtu kwa aina ya gari analomiliki!
 
Kuna tofauti ya tamaa na mapenzi, sasa mbaya zaidi kwako dada wala hajakutamani wewe bali hilo range.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…