Kwa nini?Debe tupu halikosi kuvuma
Yep,umasikini look good on me!Hutaki kuwa tajiri?
Si liko tupu mzee mbona simple, lazima litoe sautiKwa nini?
Kwa nini?None of those two.
Nini kifanyike ili tuwe matajiri?Umasikini ni laana
Wengi wanataka kuonekana ni tajiri wakati si tajiri.Lengo ni kuwa tajiri au kuonekana tajiri.... Rich Vs Wealth..
Kwa sababu malli ninazomilliki bado zinakaguliwa na forbes. Wakitoa majibu ndipo nitajua status yangu iko wapi ila sipo kwenye umaskiniKwa nini?
Mali zako zinazalisha nini?Kwa sababu malli ninazomilliki bado zinakaguliwa na forbes. Wakitoa majibu ndipo nitajua status yangu iko wapi ila sipo kwenye umaskini
Ajira kwa vijana kadhaa.Mali zako zinazalisha nini?
Raa jipe mwenyewe babMasikini wanatumia nguvu nyingi sana kutaka kuwaaminisha jamii kuwa ni matajiri, kwa kununua vitu vya anasa anasa visivyo zalisha; mfano, masikini atapambana sana kununua nguo za gharama, mikufu na micheni ya gharama, saa za gharama, magari ya gharama, kukodi usafiri binafsi kwa gharama n.k lengo ni kutaka kuwaaminisha jamii kuwa wao sio masikini; wakati kiuhalisia wao ni masikini.
Matajiri hufanya matumizi makubwa kwenye uwekezaji na hawataki kuwaaminisha watu wao ni matajiri; bali matendo yao tu ndio uwaonyesha wao ni matajiri.
Wao watawekeza kwenye mitambo ya uzalishaji, uchimbaji wa visima vya mafuta, uwekezaji kwenye uchimbaji wa gesi, ujengaji wa viwanda vya magari, vifaru, ndege, simu n.k na uvaaji wao huwa ni wa kawaida sana.
Masikini mwenzangu, unakubaliana na hii mada?
Inazalisha bidhaa/ huduma ipi?Ajira kwa vijana kadhaa.
Nachangia kukuza pato la taifa kwa kulipa direct tax
HuInazalisha bidhaa/ huduma ipi?
DoSiwezi kufanana na shida zangu mkuu. Yani unafukuzia deal ya milioni na muonekano wa buku mbili, inawezekana kweli mkuu ?..
Halafu unadhifu na kupenda vitu vizuri sio show off ila kuridhisha nafsi kwa kukupa muonekano unaokuridhisha toka ndani ya nafsi.
Siwezi kufanana na shida zangu. NEVER
Umaskini haufichiki kamweeeKuficha Umaskini nao ni Umaskini wa Akili na roho pia.