Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,097
- 62,048
- Thread starter
- #41
Mnawaonea maskini ila ukweli ni kwamba kuvaa na kuoendeza(mitindo) ni tabia ya mtu na si kumuonesha mtu hali yako ya uchumi.
Ni sawa na hesabu za kutoa na kujumlisha; ukitumia muda mwingi kwenye kujipendezesha, kutaka kuaminisha watu uko vizuri wakati hauko vizuri, ndivyo hivyo hivyo unapoteza muda kwenye uwekezaji wa vitu vya msingi.