Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,124
- 62,114
- Thread starter
- #61
Sio matajiriWanazalisha magari ya aina gani? What's this suppose to mean?
Sio matajiriWanazalisha magari ya aina gani? What's this suppose to mean?
Anachimba mafuta na gas wapi?Story za tajiri muulize masikini, ila nakuhakikishia saa moja anayo vaa moo dewji, ina gharamia outfit zako zoote ulizo nazo ndani.
Kabisa mkuu japo ni vizuri kuridhisha nafsi kwa kile unachotamani. Mfano unapenda kwenda kwenye migahawa mizuriInabidi kutafuta mbinu za kuwa tajiri
Wewe ndio unawawezesha vijana wawe na muonekano wa kuzeeka?Nazalisha bia mkali..!
Nini kifanyike?"Umasikini mbaya ni ule umasikini wa fikra" - mwl. Nyerere.
"elimu elimu elimu" - ENLNini kifanyike?
Mbwembwe tuMaskini na mbwembwe zao
Elimu sahihi inapatikana wapi?"elimu elimu elimu" - ENL
Ilikuwaje?Hata mimi kipindi nikiwa masikini nilikua nilikua na hizo tabia
Nilishawahi kuuza kiwanja changu ili nikaoneshe umwamba kwenye baa yetu maarufu 😣Ilikuwaje?
popote pale alimradi itakukomboa kifikra.Elimu sahihi inapatikana wapi?
Mtu mwenye Phd katika vyuo vyetu na mwenye Phd ya Harvad, wote wako sawa katika reasoning?popote pale alimradi itakukomboa kifikra.
Kujali watu wanaongea nini kuhusu wewe..... Mawazo binafsi na sauti za kihwani kwako kuhusu mawazo yao zinaweza kukuuwa.Na wengi ndio tupo hapa
I am broke but not like poor broke.Huo sio utajiri, bali ni kutafuta namna ya kuishi