Masikini Manji, kabanwa kila kona!

Masikini Manji, kabanwa kila kona!

Hao watumishi wanaoteseka ni watanzania wenzetu na familia zao wakati Manji hawezi lala na njaa. Tunahitaji kupimwa akili zetu hizi za chuki
Wengine wanalishwa hawajui hata bei ya sukari ndio maana usishangae.
 
Eeh Mungu....ndoto ya lema na itimie...peke yetu hatuwezi.
 
Aliposema matajiri wataishi kama mashetani, wakapiga makofi na vigelegele!
...walidhani maskini wataishi kama malaika..!?!!
Hapo mkuu...kuna watu hawajui multiplier effect ..inakuaje mtu ashingilie mwingine anapoumia kiuchumi, ni kutokujua kuwa aliyenacho akiingiza hela kwenye mzunguko zinakuokoa hata wa kipato cha chini.
 
Hapo mkuu...kuna watu hawajui multiplier effect ..inakuaje mtu ashingilie mwingine anapoumia kiuchumi, ni kutokujua kuwa aliyenacho akiingiza hela kwenye mzunguko zinakuokoa hata wa kipato cha chini.
Ni kweli kabisa mkuu, tatizo ni watu kuwa na chuki tu..
 
Tumeshautanguliza umasikini na unyonge ikulu tutarajie mengi zaidi ya haya tuyaonayo sasa mtaisoma namba
 
Hao watumishi wanaoteseka ni watanzania wenzetu na familia zao wakati Manji hawezi lala na njaa. Tunahitaji kupimwa akili zetu hizi za chuki
Kwahiyo aachwe afanye makosa kwa sab ameajiri watanzania? Kwani ujambazi sia ajira? Mashamba ya bangi hayaajiri watu? Kazi zingine zisizohalali haziajiri watanzania?
 
Unafurahia?!! Ww umenufaika vp na Hali ya kumdhoofisha Manji?
Au hapo mwanzo uliathirika na nn wakat biashara za Manji zinashamiri?
Acheni wivu wa kimaskini
Kwani tajiri ni manji peke yake tz? Kama ana makosa lazima sheria ifanye kazi yake.
 
Tusahau wawekezaji kutokuja kuwekeza tena Tanzania

Raia wasio wa Tanzania Wazungu, Wahindi, Waarabu etc.. na hata wazawa ambao wenye makampuni au wafanya biasha wakubwa hela zao wataanza kuzitoa kwenye a/c zao mapema na kuzihamishia nje ya nchi kuhofia wasije kuzifunga a/c zao na kufilisiwa

Hela itazidi kuwa ngumu mtaani mzunguko wa hela utazidi kuwa mbovu uchumi utazidi kuporomoka
 
Yangu macho
Lazima Serikali ijulikane
yale maneno oh
Serikali Dhaifu
tunayahitaji tena
 
siamini hii, labda kama kuna mfanyakazi wa quality group aseme kweli
 
Back
Top Bottom