Masikini Manji, kabanwa kila kona!

Masikini Manji, kabanwa kila kona!

Saaaaafi na mbado
Watanzania hatuendelei kwasababu ya roho ya husda, tunafurahia kuona wote tunakua masikini. Hivi unaposema safi sana hufikirii wale wafanyakazi kua wanapoteza kazi ni mateso kwa familia zao pia. Sasa wewe hapo umeongezwa mshahara kwa Manji kufunga biashara au maisha yako yamekua bora zaidi au ni nini unachokifurahia?
 
Siwapendi Wa Hindi wabaguzi sana!! Kama vipi lifirisike
 
Visasi vya kimasikini.

- Akaunti zake zote zimefungwa

- Mchapishaji wa Magazeti JAMANA PRINTERS kapigwa marufuku kuchapa gazeti la Jambo Leo. Gazeti halijaingia mtaani siku ya nne sasa.

- Watumishi wamekosa mishahara, waandishi wanahaha.
Kwa ujumla Quality Group ni kama imesimamisha shughuli zake

Chanzo: Watumishi wa QG
 
Wabongo wote ni sadist in nature!...tunatofautiana kiwango cha usadist tu.
Ukiangalia michango ya watu humu ni kweli kabisa napata picha kuwa watanzania wengi wanafurahia sana mateso yanayowakuta wenzao (sadist). Nakumbuka kipindi fulani watu walikuwa wanashangilia sana watumishi kufukuzwa kazi kwa mtindo dhalili kabisa wa kutumia media bila kupewa fursa ya kusikilizwa, na sasa hivi bado wanaendelea kufurahia mateso ya wengine; kitu ambacho kwa watu wenye nyoyo safi za upendo na huruma lazima wangesema tusubiri mahakama iamue kwa haki, kisha hatua zichukuliwe kwa mujibu wa sheria. Binafsi simtetei yeyote bali cha msingi kwangu ni sheria izingatiwe na utu wa watu husika ingawa ni wakosaji uheshimiwe.
 
Hivi Yusuf Manji kaikosea nini kikubwa serikali hii?
Hii government ya kipuuzi kabisa.
 
Hao watumishi wanaoteseka ni watanzania wenzetu na familia zao wakati Manji hawezi lala na njaa. Tunahitaji kupimwa akili zetu hizi za chuki
Unampima mtu akili kama huna uhakika kichwani zimo ama Maji ya dafu. Kama uhakika upo, haina haja ya vipimo. Mi nakuhakikishia, huyo jamaa hamnazo!
 
Back
Top Bottom