Masikini Manji, kabanwa kila kona!

Masikini Manji, kabanwa kila kona!

Kuuza ngada hzo blahblah kwa manji,ana makampuni ya quality group ana makampuni Kenya hadi marekani aliyoaacha baba yake
Na yeye akayaendeleza,
Kazi gani ambayo si halali unaijua wee

Ova
Subiri Kesi iishe na maamuzi kupatikana
 
e
- Akaunti zake zote zimefungwa

- Mchapishaji wa Magazeti JAMANA PRINTERS kapigwa marufuku kuchapa gazeti la Jambo Leo. Gazeti halijaingia mtaani siku ya nne sasa.

- Watumishi wamekosa mishahara, waandishi wanahaha.
Kwa ujumla Quality Group ni kama imesimamisha shughuli zake

Chanzo: Watumishi wa QG
what is this?
 
Yawezekana akawa mhindi kwa rangi na kabila lakini kwa uzalendo wewe ukawa ni wale ambao hata hujaweza saidia hata mama au mdogo wako. Huwezi kuwa mbaguzi halafu ukadai haki toka kwa watu wengine. Jitambue kwanza ndo uanze kuchunguza na kukosoa wengine. Wewe hujitambui au inawezekana ramani yako inaishia hapo ulipo hujavuka mpaka hata wa kijiji.
ntumie no yako nkupe hata vocha tuu..umeandika vema sana
 
Back
Top Bottom