Masikini Manji, kabanwa kila kona!

Masikini Manji, kabanwa kila kona!

kabla yayote angefunguliwa kesi yenye uzito ili tujue kweli nimtu hatari lakini hizi ambazo wanafunguliwa watu kila leo hazijustify nguvu kubwa ya kumdhibiti.
Nafahamu anapenda kesi na figisu basi awe calm ajipange mahakamani adai fidia yaukweli sio mambo ya shilingi moja. Huwa kajeuri lakini katendewe tu haki
 
Mwambieni aje afanyiwe maombi njoo uombewe....

Abadili Dini na awe Mroma ntimanyongo zitaisha... Vipi Coco beach kesharejeshewa? au sio katika utawala wangu!!!!
 
Nafikiri kuna watu hawana aibu kwa ujinga wanao fanya!

Mungu ange mumba kama mpinzani wake pengine bado angefurahi kuwa hivyo!
 
Let us focus kwenye maendeleo yetu ya mmoja mmoja na kama nchi kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom