Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,416
- 21,810
Wewe huijui serikali ya CCM, nyamaza Tu Mkuu.Tatizo, hapa wengi wanaochangia hii mada wanasema kulingana na taarifa za magazeti, redio, TV na hata watu kama hii mada inasema chanzo ni wafanyakazi wa QG.
Laiti, kama moyo wa Manji ungekuwa kama kioo mkaangalia live ndiyo mngeelewa.
Sema kwa sababu, mioyo yetu ni siri zetu basi tutapinga kelele sana.
Ila kwa kifupi, serikali siyo wapumbavu kama tunavyofikilia na kuhukumu kwa yanayoendelea.
Naomba, niishie hapa maana ......