Masikini Manji, kabanwa kila kona!

Hapo mkuu...kuna watu hawajui multiplier effect ..inakuaje mtu ashingilie mwingine anapoumia kiuchumi, ni kutokujua kuwa aliyenacho akiingiza hela kwenye mzunguko zinakuokoa hata wa kipato cha chini.
Malumumba hayalitambui hilo
 
Kwahiyo aachwe afanye makosa kwa sab ameajiri watanzania? Kwani ujambazi sia ajira? Mashamba ya bangi hayaajiri watu? Kazi zingine zisizohalali haziajiri watanzania?
Wewe huna lolote ujuwalo zaidi ya upiga zumali
 
Kwani lengo la kesi ya manji ni nini? ni kumdhibiti aache kujihusisha na madawa ya kulevya au asiwe tajiri tena?
 
Kuwa ccm na kuwa kada wa chama sio mwamvuri au pango la walanguzi.....ccm sasa ni chama cha wasafi.....kesi yake ikiisha akahamie Chadema....mana ndo mtaro wa kupokea waliopitiliza kwenye chujio la chama.
Wewe utakuwa ni mhamiaji haramu
 
Important Message From Quality View attachment 474816 Group CEO
09:13 24 February in News by QGL
Dear Colleagues

As a valued stake holder in Quality Group, you may be aware of the recent media reports involving Quality Group Limited and the previous Chairman, Mr Yusuf Manji. Whilst the fact that these matters are the subject of ongoing legal action limits the information I can share with you, I can confirm that the Authorities have made various allegations against Mr Manji and Quality Group Limited. I can also confirm that the Quality Group and Mr Manji are in the process of vigorously defending these allegations and our legal counsel expects to resolve them shortly.

Quality Group Limited continues to operate across all its business lines and the current actions taken by the Authorities have not impacted on our day to day operations or on our ability to service our customers and suppliers. Quality Group Limited has the depth of management in place to deal appropriately with the current challenges. We value our hard won relationships with our suppliers, customers and other stakeholders and maintaining those relationships continues to be our focus and passion.

Quality Group Limited remains committed to our mission to be a reputed and respected leader across various business sectors in Tanzania, maintaining the highest standards of Professionalism, Ethics, Quality and Customer Service.

Sincerely,

N Ralph
Group CEO
Quality Group Limited
tuambiwe kwa nini Gazeti la Jambo Leo limesitishwa kuchapishwa?
 
Makonda ni binadamu na ana matatizo yake - CHADEMA pia ina biff na Makonda tangu enzi za bunge la katiba. Kosa kubwa wanalofanya ni kujaribu kupambana na Makonda anapokuwa amewabana - Mfano kuleta hili suala la vyeti vya Makonda kwa sasa haliwezi kufanikiwa kwasababu hata Magufuli mwenyewe atajua ni mapigo tu na hujuma za watu waliotajwa kwenye orodha ya watumiaji wa madawa na atalipuuza suala hilo hata kama ni kweli - Poor timing
Nani Daudi?
 
Back
Top Bottom