pole kijana kufurahia mwenzio akifanyiwa udharimuSaaaaafi na mbado
Laiti ungeona jinsi wahindi wanavyotubebesha mirundo ya kazi ndipo tulipwe mishahara midogo usingeinua mdomo. Kwanza wanakwepa sana kulipa kodi Hawa na Hata stahiki zetu za pensheni zinakatwa kidogo kutokana na kulipwa marambili mishahara kwa mwezi.Hao watumishi wanaoteseka ni watanzania wenzetu na familia zao wakati Manji hawezi lala na njaa. Tunahitaji kupimwa akili zetu hizi za chuki
Sitaki kuamini kama haya ni kweli lakini ikiwa ni ukweli Manji anaandamwa namna hii basi kuna siri kubwa ambayo sisi hatuijuwi.
Kazi kweliTena viwanda kibao
Unashirikisha ubongo katika kuandika ama unatumia makalio benchotSaaaaafi na mbado
Maana anayefanya kazi hi yo ni Mimi Na sio serikaliVitega uchumi vyake unavifaham? Acha roho ya wivu na choyo!! You will die poor
Huwezi mtu ukifurahiaa mtu kusimamishwa biashara zake wakati mtu hyo hyo kaajiri maelfu ya watuKwanini?
Hata Kama sio kazi halal?Huwezi mtu ukifurahiaa mtu kusimamishwa biashara zake wakati mtu hyo hyo kaajiri maelfu ya watu
Ova
Umeandika kitu cha maana lakini naona una shida moja ya kutofungua fahamu zako vizuri, hebu isome comment yako vizuri na kuitafakariHao watumishi wanaoteseka ni watanzania wenzetu na familia zao wakati Manji hawezi lala na njaa. Tunahitaji kupimwa akili zetu hizi za chuki
Kuuza ngada hzo blahblah kwa manji,ana makampuni ya quality group ana makampuni Kenya hadi marekani aliyoaacha baba yakeHata Kama sio kazi halal?
Tazama maelfu walioajiriwa na ulinganishe na maelfu ya wala ngada, pengine kupitia kwake,Huwezi mtu ukifurahiaa mtu kusimamishwa biashara zake wakati mtu hyo hyo kaajiri maelfu ya watu
Ova
Vibaya hivyo Quality Group Unajua imeajiri watu kiasi gani!??? Hata km unainterests zako binafsi kwa manji au anachomiliki usiseme hivyo Mkuu....Saaaaafi na mbado
Unajua sababu zozote za kufungiwa account zake? Nafikiri tukisema kila kitu sawa sababu anaajiri Wa Tanzania ni makosa. Quality Centre na deni analodaiwa ni mfano unaojitoshelezaHao watumishi wanaoteseka ni watanzania wenzetu na familia zao wakati Manji hawezi lala na njaa. Tunahitaji kupimwa akili zetu hizi za chuki
Akifilisiwa hizo mali zake utazichukuwa wewe?bora ukose mali kuliko kukosa utuSiwapendi Wa Hindi wabaguzi sana!! Kama vipi lifirisike
Hakuna sehemu yoyote inayoonyesha chuki katika uzi huu ila wewe tu umemlisha maneno mkuu, acha hofu, mashaka na ushabiki wa Simba yanga.Hao watumishi wanaoteseka ni watanzania wenzetu na familia zao wakati Manji hawezi lala na njaa. Tunahitaji kupimwa akili zetu hizi za chuki