mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 95,875
- 136,783
Roho za kimaskini hizo zinaitwa....achanaa na pumbavu hyo anayefurahia mwenzake kufanyiwa mabayaaShida ya masikini ni kufurahia tajiri anapopata bughudha.
Ova
Roho za kimaskini hizo zinaitwa....achanaa na pumbavu hyo anayefurahia mwenzake kufanyiwa mabayaaShida ya masikini ni kufurahia tajiri anapopata bughudha.
HIYO INAITWA KUKOMOANASitaki kuamini kama haya ni kweli lakini ikiwa ni ukweli Manji anaandamwa namna hii basi kuna siri kubwa ambayo sisi hatuijuwi.
Hivi MTU akifanya ufisadi aogopwe kwa kuwa ametuajiri? Wakati tunazungusha mikono kutaka mabadiliko si tulitaka MTU asiyewaonea aibu mafisadi? Ni nani ambaye hajui robo tatu ya majizi makubwa ni wahindi, Leo imegeuka imekuwa ni "kuwaonea wivu". Ina maana Leo watu Wa jf mumemsahau manji?Wanateseka watanzania wenzetu.
Basi fikiria nnje ya box mkuu sawa labda manji ni mchafu ahukumiwe kwa makosa yakeMi natumia Ubongo Mkuu
Wivu tu unakusumbua, kwa hiyo taasisi zote sasahivi ndiyo zinaona madudu ya Manji? Mahakama ndiyo itasema Manji ni fisadi ama la.Hivi MTU akifanya ufisadi aogopwe kwa kuwa ametuajiri? Wakati tunazungusha mikono kutaka mabadiliko si tulitaka MTU asiyewaonea aibu mafisadi? Ni nani ambaye hajui robo tatu ya majizi makubwa ni wahindi, Leo imegeuka imekuwa ni "kuwaonea wivu". Ina maana Leo watu Wa jf mumemsahau manji?
Tulisema Kikwete ni dhaifu kwa kuwa alikuwa anawaogopa watu kama hawa. Ni kiongozi gani bora nchi hii ambaye hakupambana na wahindi? Kumbuka Nyerere na sokoine waliwafanya nini
magabacholi. Leo watu wenye akili za kitumwa na ombaomba mnamtetea fisadi kwa nguvu zote. MTU Wa kwanza kutaifisha Mali za wahindi alikuwa JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Hivi tunasahau kuwa kuna Mungu wa wote? Mola atafanya miujiza siku moja. Familia zinakosa mkate wao wa kila siku shauri tunataka watu waishi km nini sijui. Wafanyakaxi jipeni moyo.Akaunti zake zote zimefungwa
Mchapishaji wa Magazeti JAMANA PRINTERS kapigwa marufuku kuchapa gazeti la Jambo Leo.
Gazeti halijaingia mtaani siku ya nne sasa.
Watumishi wamekosa mishahara, waandishi wanahaha.
Kwa ujumla Quality Group ni kama imesimamisha shughuli zake
Chanzo: Watumishi wa QG
Hata jana mpirani hakuja, inasemekana uhamiaji walikuwa na mazungumzo naye, Sijui walihofia angeshangiliwa sana na washabiki wa Yanga?
Si mlisema manji alijitoa kwenye ukurugenzi Wa QL hivyo hahusiki na ajira za wahindi wasio na vibari, mkadai wala sio mjumbe Wa bodi, kwa hio QL inajiendesha yenyewe chini ya wakurugenzi na bodi yake ambayo manji sio member.Basi fikiria nnje ya box mkuu sawa labda manji ni mchafu ahukumiwe kwa makosa yake
behind kuna watanzania wanaumia sio kwa mapenzi bali ni wale aliowaajiri Ku ban accounts sio ishu haswa za malipo ya mishahara
Hivi tunasahau kuwa kuna Mungu wa wote? Mola atafanya miujiza siku moja. Familia zinakosa mkate wao wa kila siku shauri tunataka watu waishi km nini sijui. Wafanyakaxi jipeni moyo.
Sasa akili zitawarudia. Ngoja hayo maneno yaendelee kuwakaa kichwani vizuri.Aliposema matajiri wataishi kama mashetani, wakapiga makofi na vigelegele!
...walidhani maskini wataishi kama malaika..!?!!
Hhahaa nimecheka sana koment yako! Imekaa kiutu uzima uzima yawezekana ww ni mtu mzima! Vihela vinaletaga ukorofi mdogo mdogo, kikubwa zaidi ufalme uliopita kina manji walikuwa final sayer, asipobadili style ya kucheza beat ataumiakabla yayote angefunguliwa kesi yenye uzito ili tujue kweli nimtu hatari lakini hizi ambazo wanafunguliwa watu kila leo hazijustify nguvu kubwa ya kumdhibiti.
Nafahamu anapenda kesi na figisu basi awe calm ajipange mahakamani adai fidia yaukweli sio mambo ya shilingi moja. Huwa kajeuri lakini katendewe tu haki
Kabisa Kuna siri nyuma ya paziaSitaki kuamini kama haya ni kweli lakini ikiwa ni ukweli Manji anaandamwa namna hii basi kuna siri kubwa ambayo sisi hatuijuwi.
Acha ajifunze kua ccm ni wanafiki.walikua wanajifanya fanya ni makada
Umekosea. Ivi kwa ubongo wako sheria na kanuni zimewekwa ili zifuatwe au zivunjwe kwa kisingizio cha eti wanaonufaika ni watanzaniaHao watumishi wanaoteseka ni watanzania wenzetu na familia zao wakati Manji hawezi lala na njaa. Tunahitaji kupimwa akili zetu hizi za chuki
Kweli bado zamu yako kuisoma namba.Saaaaafi na mbado