Hivi siku hizi pale central hakuna selo? Kwanini waliondolewa? Hata hamjiongezi. Wewe mwenzangu na mimi kujifananisha na Manji ni ujinga uliopita ujinga wenyewe.
Badala ya kuwa na Wivu wa Maendeleo/Kimaendeleo, cha ajabu tuna wivu wa kiHUSDA.
Tatizo badala ya kupigana na Maisha ili tujue pa kutokea, tunakaa na kuangalia Watu waliopiga hatua huku tukisubiri kukinga, kitu ambacho hakiwezekani Abadan
Mkuu, mwenye mawazo ya kimaskini ni yule anayeumia moyo kumuona mwenzake anafanikiwa kiuchumi. Binafsi sina mawazo hayo bali wewe na wenzako mnaochukia matajiri.
Watz ni watu wa ajabu kweli..ukiwa tajir wanakuchukia na wanakuombea upatwe na mabaya...wakat wengine ndio umewaajir..kwa mtazamo huu hatuwezi kuendelea kamwe
hivi kweli unajiita mafia alafu unamfata mtu unamwambia jinsi nitakavo kufanyia.unategemea nini si kupigwa kanzu tu.siku zote doni uwa haongei kama muimba taarabu