Masikini Dr. Slaa, Nyumba yake yapigwa mnada

Yes ni Josephine ndio aliyekopa milioni 300 Bank iliyopo barabara ya sam nujoma....Hawa wanawake(Baadhi) wanalostisha sana ona Dr. Alivyompoteza.

Chanzo: Tanzania Daima.

Hawa wanawake hasa wa mjini(si wote) hatari tupu . Sasa ona Dr kaingia mkenge. Hela zote hizo sijui kwa mradi gani labda watalipa wafadhili wao wa wakati wa kampein
 
We unataka kusema hukuliona kosa la Dr.Slaa kabla hajakimbilia nje MZEE ?!. Dr ilitakiwa abaki kimya alivyoamua mwanzo. Lakini alipoiruhusu CCM kumuandalia Press na midahalo kukikandia chama chake !! Ulitegemea wana CDM nao wasimgeuzie kibao ?

Hebu angalia Mkama alivyokatwa na nafasi yake kujazwa na Kinana amesema nini mpaka leo ?! Kimya. Na WaTz tulivyo wanafki hatukuliona kama jambo kubwa, lakini leo pamoja na Dr kuisuta CDM watu mnadai kosa lake lisiguswe, hii si sawa hata ukiwa maarufu lakini usinyee kambi yako iliyokulisha.

Ni ujinga sana alifanya....Hebu ona alichofanya Lipumba...Hata CUF Leo pamoja na mafanikio yao bado wanamheshimu

Mwanaume unapaswa kuwa kama Lipumba

Sasa wewe unaanza kuandaa mi press conference kibao kukitukana chama chako na kutoa siri za vikao....Unategemea wanachama waendelee kukupenda tuuuu

Mbowe aliamua kuhandle yale mambo kiutu uzima....Kuwa Dr Slaa anapumzika...Lengo la mbowe lilikuwa ni kumtunzia heshima na hadhi yake katibu wake mkuu aliyemuamini kwa miaka mingi sana.
 
Binadamu tuna sahau mapema kweli madhambi yetu, Slaa alikuwa anatukanwa kweli na vijana wa ccm, ohh, amepora mke wa mtu, mara hana mke ana mchumba mpaka uzeeni, leo huyo mwanamke amechukua mkopo amemponza Slaa, malalamiko yanarudi kwa Mbowe na Lowas, mara Slaa ametelekezwa na chadema, hivi leo karudi kuisapot ccm Josephine kawa mke wake halali? Slaa aliondoka mwenyewe chadema leo una anzia wapi kusema katelekezwa? Tuwe na akiba ya maneno. Pole Dr. ila hushindwi kuikomboa nyumba labada una agenda nyingine nyuma ya ukopwaji huo.
 
Sikuwahi kufikiria kwamba akina Crashwise watakuja kumkejeli Dr Slaa na kumuabudu Lowassa kwa jinsi ambavyo huyu mzee alitumia juhudi na maarifa mengi ktk kukiimarisha hiki chama.Mara hii wamesahau yote mazuri ambayo Dr Slaa aliyafanyia CHADEMA, eti wanamwita msaliti,mtu aliyekaa na CHADEMA kwa zaidi ya miaka 30,akikihudumu chama kama katibu mkuu kwa zaidi ya miaka 20 leo asiaminiwe halafu kuaminiwa mtu ambaye maisha yake yote alikuwa na CCM,kwa zaidi ya miaka 40,kajiunga juzi tu na CHADEMA mara hii yeye ndio limegeuka kuwa Mungu ndani ya chama,kila goti la mfuasi,kada na mwanachama wa CHADEMA kwake litapigwa.Kweli fedha ni sabuni ya roho,ukiwa mpigania uadilifu na ukweli kama Dr Slaa utadharaulika,ukiwa mtu mwenye tuhuma nyingi za ufisadi kama yule jamaa yetu maadamu una pesa basi hata magoti utapigiwa.
Miaka 30 ndani ya Chadema? Na miaka 20 kama Katibu mkuu? Inaonyesha hata unachokiandika hukijui. Chadema yenyewe ina miaka 23 hiyo 30 umeitoa wapi wewe?
Ni dhahiri watu mnaandika kwa utashi wa ushabiki bila kuwa na fact. Kuhusu mtu kukitumikia chama kwa bidii na kisha kulaumiwa na kulaaniwa mwishoni hiyo ni dhahiri kama atakwenda tofauti na mwenendo wa chama. Mfano ni mzazi aliyemtunza mwanae toka utotoni, akamsomesha na kumkuza. Mtu huyo hana haki ya kumchinja mwanae na jamii ikanyamaza eti kwa vile alitumia nguvu kubwa kumlea
 
Ukiwasoma vijana wa Chadema kwenye thread kama hizi ....unahitaji kuwa mwendawazimu kuwa sehemu yao katika mapambano ya kutetea wanyonge wa nchi hii ....wameshaandika kejeli na matusi juu kwa headlines za magazeti tu ....

Ni janga vijana hawa!
 
Sikuwahi kufikiria kwamba akina Crashwise watakuja kumkejeli Dr Slaa na kumuabudu Lowassa kwa jinsi ambavyo huyu mzee alitumia juhudi na maarifa mengi ktk kukiimarisha hiki chama.

Mara hii wamesahau yote mazuri ambayo Dr Slaa aliyafanyia CHADEMA, eti wanamwita msaliti,mtu aliyekaa na CHADEMA kwa zaidi ya miaka 30,akikihudumu chama kama katibu mkuu kwa zaidi ya miaka 20 leo asiaminiwe halafu kuaminiwa mtu ambaye maisha yake yote alikuwa na CCM,kwa zaidi ya miaka 40. Kajiunga juzi tu na CHADEMA mara hii yeye ndio limegeuka kuwa Mungu ndani ya chama, kila goti la mfuasi, kada na mwanachama wa CHADEMA kwake litapigwa.

Kweli fedha ni sabuni ya roho, ukiwa mpigania uadilifu na ukweli kama Dr Slaa utadharaulika, ukiwa mtu mwenye tuhuma nyingi za ufisadi kama yule jamaa yetu maadamu una pesa basi hata magoti utapigiwa.
...wacha kupayuka wewe,kwa taarifa yako huyo Dr.Mihogo ndio alikua wa kwanza kumwambia Mbowe wamchukue Lowassa,gafla baada ya kuona Lowassa ndio kawa mgombea,mushumbuzi akamwambia chagua moja,uendelee kuishi humu ndani au ukalale ofisini Cdm,mzee wa watu baada ya kulala kwenye gari,nxt day akaona isiwe tabu narudi ndani mamaa,ndo ikawa bye bye Cdm.
Hana uzalendo wowote!
 
Ukiwasoma vijana wa Chadema kwenye thread kama hizi ....unahitaji kuwa mwendawazimu kuwa sehemu yao katika mapambano ya kutetea wanyonge wa nchi hii ....wameshaandika kejeli na matusi juu kwa headlines za magazeti tu ....
Eti Kikwete ameteuliwa kuwa nani? Chenge kapitishwavkuwa nani wa bunge? kweli unahitaji kuwa tahira kuwa sehemu ya CCM halafu eti Lake Oil imepewa siku 60 iwe imelipa kodi iliyokuwa imekwepa ya zaidi ya 8bil...
 
Nyumbu wanatiririka tu....Muulizeni Mbowe sakata la mgao wa zile bilioni za Luwasa ndio mtamjua vizuri Slaa....nyie nyumbu endeleeni kuingizana machakani tu na kuzungushwa mikono na kuinamishwa viuno.
...tuondolee mipovu huku,akirudi mumtafutie kibanda huyo rafiki yenu ajiegeshe,asipoangalia atalala kwenye banda la mbuzi!
 
We unataka kusema hukuliona kosa la Dr.Slaa kabla hajakimbilia nje MZEE ?!. Dr ilitakiwa abaki kimya alivyoamua mwanzo. Lakini alipoiruhusu CCM kumuandalia Press na midahalo kukikandia chama chake !! Ulitegemea wana CDM nao wasimgeuzie kibao ?

Hebu angalia Mkama alivyokatwa na nafasi yake kujazwa na Kinana amesema nini mpaka leo ?! Kimya. Na WaTz tulivyo wanafki hatukuliona kama jambo kubwa, lakini leo pamoja na Dr kuisuta CDM watu mnadai kosa lake lisiguswe, hii si sawa hata ukiwa maarufu lakini usinyee kambi yako iliyokulisha.

Dr angeweza kubaki kimya, lakini wakati wa ukimywa wake viongozi wa waandamizi walianza propaganda za eti Dr amewekwa kizuizini na mchumba wake.

Mara kina Yericko Nyerere na Tumaini Makene wanaandika kwenye mitandao eti Dr yuko busy anaoganaizi kikao cha Kamati Kuu.

Mara ooh, Dr Kanunuliwa. etc etc.

Katika muktadha wa namna hiyo hawezi kubaki kimya.
 
...hamna ulichoandika hapa,hujielewi wala hueleweki.
 
in maaana pesa zote alizopewa na ccm kuisaliti chadema alishindwa kulipia deni?
au walilia vitumbua na madama?
 
haya sasa, ni wakati muafaka kwa wana cdm asili kujitokeza na kuwa bega kwa bega na dr. slaa. fungueni bank acct.,mpesa, tigopesa na airtel money. mimi si cdm ila nitakuwa bega kwa bega nanyi. dr. slaa ndiye aliyewatoa tongotongo hivyo haifai jambo hili limtokee. achaneni na ma-cdm ambayo kutwa kucha yanambeza dr. yamesahau dr. alipoyatoa, hayana shukrani. ni wakati wa kuonyesha dr. slaa anao marafiki - akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki. a friend in need is a friend indeed.
 
Hayo mabilioni yalioandikwa kwenye uchaguzi amewekewa ktk benki HSBC Uingereza kwanini wasilipe hilo deni?
 
Sikuwahi kufikiria kwamba akina Crashwise watakuja kumkejeli Dr Slaa na kumuabudu Lowassa kwa jinsi ambavyo huyu mzee alitumia juhudi na maarifa mengi ktk kukiimarisha hiki chama.

Mara hii wamesahau yote mazuri ambayo Dr Slaa aliyafanyia CHADEMA, eti wanamwita msaliti,mtu aliyekaa na CHADEMA kwa zaidi ya miaka 30,akikihudumu chama kama katibu mkuu kwa zaidi ya miaka 20 leo asiaminiwe halafu kuaminiwa mtu ambaye maisha yake yote alikuwa na CCM,kwa zaidi ya miaka 40. Kajiunga juzi tu na CHADEMA mara hii yeye ndio limegeuka kuwa Mungu ndani ya chama, kila goti la mfuasi, kada na mwanachama wa CHADEMA kwake litapigwa.

Kweli fedha ni sabuni ya roho, ukiwa mpigania uadilifu na ukweli kama Dr Slaa utadharaulika, ukiwa mtu mwenye tuhuma nyingi za ufisadi kama yule jamaa yetu maadamu una pesa basi hata magoti utapigiwa.

You are very right .............. Dr. Slaa inawezekana siyo msaliti!!

Ila kulikuwa hakuna haja ya kuuwa chama kwa sababu ya Lowasa.
 
Kwa hiyo umepatwa na furaha kwa sababu nyumba ya Dk. Slaa inapigwa mnada?

Furaha yote ni kwa sababu hakumsaidia fisadi Lowassa kuingia Ikulu?

Moral and Human principle is more than material gain!

Dhehebu lake linasema, heri wenye moyo safi...

Dk. Slaa aliamua kuwa na moyo safi!

CCM MAJIPU katika ubora wako
 
Back
Top Bottom