Ni jukumu la mlalamikiwa kujenga hoja ili kupangua madai yake ya msingi, kupata milioni Mia mbili inaweza kuwa ngumu lakini pia rahisi. Yawezekana mteja wake ilikuwa ni kampuni let us say yenye mtaji wa billion mbili na endapo angefanikisha deal malipo asimilia kumi,Yaweza isijengewe hoja ila inatosha kufikirisha. Alijihakikishiaje kwamba ni lazima atapata 200M
Ama Tu assume ni ajira ambayo ingemlipa mshahara wa milioni mbili Kwa mwezi X 12 ni 24M, achilia mbali hela ambayo angechangiwa na mwajiri kwenye mfuko wa Hifadhi ya jamii, hiyo kazi angeifanya miaka kumi Tu tayari angeweza kupata hiyo milioni Mia 200, wao wamesababisha amepoteza, unajua athari alizopata kisaikilojia kutokana na kukosa hiyo kazi, athari za kiuchumi na kijamii na kuonekana jobless, pengine hata mchumba amemtosa Kwa sababu ya kutokuwa na kipato. Hii kesi mwamba anatusua. Hata kama siyo hiyo Mia 2 wanaweza negotiate mkeka ukarudi na Mia 1. Haja sukuma vx ya mtumba, hahahaha nawatamani mno hawa.