Mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) bandarini Dar Es Salaam yatumbukia baharini

Mama anazidi 'kukaribishwa' mjini

Tumetoka kwny Luku, tukapitie kwny mfumo wa malipo siku mbili tatu, tukapumzika kwny uvamizi na Ujambazi sasa hivi tupo bandarini 'tunalowanisha' vitendea kazi!

Karibu Nyumbani kumenoga!
Tunalowanisha haki nmecheka mno
Tunakuolekea hata ndege itakuja kudondoka airport
isitudondokee tu huku buza
 
ni fyull
View attachment 1797848
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inaujulisha Umma kuwa, Jumapili tarehe 23 Mei 2021, Majira ya saa 8 Mchana katika Bandari ya Dar es Salaam, mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) iliyokuwa ikishushwa kutoka kwenye meli ya LCT AJE 1 ilipata ajali ya kutumbukia baharini.

Mashine hiyo yenye uzito wa takribani tani 70 iliwasili kwa meli katika Bandari ya Dar es Salaam ikitokea visiwa vya Songosongo na ilikuwa ikishushwa katika eneo la Gati la Malindi. Zoezi la kuiopoa mashine hiyo linaendelea.
View attachment 1797847
Yaani ni full uzembe tu...!!!
Credit: Le Mutuz
 
Hii meli ndogo aina ya RO-RO ingeweza kuteremsha hii crane ktk kivuko / gati ya Ferry Kigamboni / Magogoni ktk rasi ya Kigamboni jijini Dar es Salaam kwa usalama kabisa.

Sasa hii ajali ina maana gati hiyo bandarini Dar es Salaam haitaweza kufanya kazi kwa muda mpaka waweze kuibua hiyo crane, hivyo kuitia hasara na kuleta msongamano wa meli zikisubiri kupaki ktk gati chache.
 
Bahalini.. mtangazaji ana shida ya matamshi ya L na R halafu wanaongezeka sana watu wenye hii shida.
Huyo anayemwajiri mtangazaji mwenye tatizo hilo naye pia hajielewi!!
nikisikia tu mtu wa hivyo na puuza hata anachokitangaza!!!!!!!!!!!
Eti BANDALI.............KLENI...........BAHALINI.......
 
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inaujulisha Umma kuwa Jumapili tarehe 23 Mei 2021, Majira ya saa 8 Mchana katika Bandari ya Dar es Salaam, mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) iliyokuwa ikishushwa kutoka kwenye meli ya LCT AJE 1 ilipata ajali ya kutumbukia baharini.
Tuna ubabaishaji mwingi mno
 
Mama President unaona sasa ajali kama hizi? Bandari ya Bagamoyo ni muhimu sana kujengwa, kwa sababu itakuwa ni kubwa. Hii ya Dar ni ndogo, ndiyo maana ajali zinatokea kama hivyo!

Usiulize enzi za jiwe ilikuwaje! Ni kwa sababu enzi za jiwe tulikuwa hatupati mziigo mizito kama hii, wawekezaji wakubwa wakubwa walikuwa wameisusia nchi yetu!
 
Ukizingatia ni lugha namba 1 africa.. yaani itafikia mahali muafrika akiwa hajui kiswahili atashangaza sana kwanini hajui kiswahili.
 
hujuma tena. naona mambo yameanza kufanyika kiholela holela au ni kwamba taarifa za mambo kama haya zilikuwa zinafichwa?
Kuna mshine kama hizo 5 zilizama hapo kipindi cha jiwe ila taarifa zikafichwa!

(alisikika taahira mmoja toka ufipa)
 
Hujuma ya wazi kabisa. Mama Samia ana kazi sana bila kupangusa kabisa wale wa Mwendazake ataonekana hatoshi kwenye hicho cheo
Ona sasa!

Huwa nasema humu mimba alizowaachia mwenda zake leteni tuzilee!

Sasa hao watu wa mwenda zake ni wapi hasa? Yeye Samia si katokana selikali hiyo hiyo ya mwenda zake?
 
Hii meli ndogo aina ya RO-RO ingeweza kuteremsha hii crane ktk kivuko / gati ya Ferry Kigamboni / Magogoni ktk rasi ya Kigamboni jijini Dar es Salaam kwa usalama kabisa.

Sasa hii ajali ina maana gati hiyo bandarini Dar es Salaam haitaweza kufanya kazi kwa muda mpaka waweze kuibua hiyo crane, hivyo kuitia hasara na kuleta msongamano wa meli zikisubiri kupaki ktk gati chache.
Mataga na sukuma gang wanakomolewa mkuu!

Kaa kwa kutulia
 
hawakuwa makini katika handling inaleta picha mbaya sn kwa watu wanao tuamini nakutumia bandari yetu.

dah wakiona hvy tunatoa mianya ya watu kutumia bandari nying kwakwel.

tunatakiwa tukae chini tujue tunashida gani na nn tufanye kuliko kulaumiana kati ya jiwe na mama kwan wao sio makuli pale bandari kwhy ajali ni ajali tu ila kama n yakizembe tujue kwa nn nasio tumbua weka bila kujua changamoto.

nashauri ni muda wakufanya uwekezaji katika techologia na vifaa vya kisasa kidogo kidogo tutafika tu.
 
Back
Top Bottom