Mlaleo JF-Expert Member Oct 11, 2011 13,387 9,752 May 26, 2021 #81 Mabeberu hawatupendi maana hawajatufundisha jinsi ya kushusha crane.. hebu tizama hiyo video yaani sijaelewa ilivyokuwa inashushwa hahaha
Mabeberu hawatupendi maana hawajatufundisha jinsi ya kushusha crane.. hebu tizama hiyo video yaani sijaelewa ilivyokuwa inashushwa hahaha