Mashindano ya Miss. Mbantu Kutoka Namibia...Lundenga Unaona?

Mashindano ya Miss. Mbantu Kutoka Namibia...Lundenga Unaona?

I have a sneaking suspicion that 'she' is not at all new to these forums!

Not even sure if 'she' is the one.

Could very well be anyone who decided to use the moniker.

Nevertheless, I'll give her some benefit of the doubt.

exactly my thinking...
 
is it ur favourite jig jig position?
naiweza sana ukizingatia nina neema za Allah basi wee nakupa dakika 1 tu utakuwa ushamwaga oil

Na baada ya hapo utasema amu nisamehe


sounds interesting..ngoja tuone
wazaramo wanasema 'zilongwa mbali,zitendwa mbali'
 
  • Thanks
Reactions: amu
Jamani nimechelewa kujua...jukwaa lipi hilo nami niburudishe mtima wangu
 
Naona mnakaribisha na mapepo humu kuwa member wa jf

Mapepo yapo mpaka kwenye majumba ya ibada sembuse hapa JF?
By the way, pepo kwako kwa mwingine laweza kuwa malaika...

Nimezisoma sheria za kufuata hapa JF kwa makini sana na sijaona panapokataza mapepo kujiunga - teh teh teh !!!
 
nataka nije na Nyani Ngabu hapo igo bar kwenye get together
hebu.fanya kweli basi....

Aliyekuwa ana-organize (Kirungu) amekwenda kuhiji kijijini kwao. Yeye anazijua protokali zote zilizopaswa kufuatwa. Ila tangu nirudi nimeshapita Igo Bar mara tatu hivi na nimeshakutana na wadau kadhaa pale, and one of them yupo hapa katika jukwaa hili hili!
 
Mmh hapo mimi moyo baridii wembamba tunamuachia lundenga..
 
Aliyekuwa ana-organize (Kirungu) amekwenda kuhiji kijijini kwao. Yeye anazijua protokali zote zilizopaswa kufuatwa. Ila tangu nirudi nimeshapita Igo Bar mara tatu hivi na nimeshakutana na wadau kadhaa pale, and one of them yupo hapa katika jukwaa hili hili!

mbona hujibu pm?
 
Mapepo yapo mpaka kwenye majumba ya ibada sembuse hapa JF?
By the way, pepo kwako kwa mwingine laweza kuwa malaika...

Nimezisoma sheria za kufuata hapa JF kwa makini sana na sijaona panapokataza mapepo kujiunga - teh teh teh !!!

Nancy katika ubora wake
 
@ Nyani Ngabu: Mimi ndimi mwenyewe. Nipo!

Ukweli ni kwamba nilikuwa napita mara moja moja kimya kimya tu bila kuwa memba. Hatimaye nimeamua kujiunga ili niweze kuwa nashiriki katika mijadala - kwa kufuata sheria na taratibu zote. Na pakinishinda nitaondoka kimya kimya kama nilivyokuja kwani sikulazimishwa na mtu kuja kujumuika hapa.

Sasa Nancy, kwa nini umeamua kuweka picha ya Nsia kama avatar yako?

Kakuruhusu kufanya hivyo?

The Boss
unamkumbuka Nsia S.?
 
Sasa Nancy, kwa nini umeamua kuweka picha ya Nsia kama avatar yako?

Kakuruhusu kufanya hivyo?

The Boss
unamkumbuka Nsia S.?

Naona watu wanatumia picha za watu mbalimbali wakiwemo wanaharakati kama Malcom X, wacheza sinema kama Denzel Washington na wengineo. Sikujua kuwa ni lazima kuomba ruhusa. Nitaiondoa na safari hii ntaweka picha yangu mwenyewe.

Nsia Swai nampenda kwani ni binti jasiri sana. Pamoja na kuvujisha picha zake zile na kupata misukosuko katika jamii lakini kamwe hakunywea wala kunyong'onyea kama konokono aliyekaukiwa na utelezi bali aliendelea na maisha yake kama kawaida mpaka kufika hapo alipo sasa. Kila mtu na hero wake ati!
 
Naona watu wanatumia picha za watu mbalimbali wakiwemo wanaharakati kama Malcom X, wacheza sinema kama Denzel Washington na wengineo. Sikujua kuwa ni lazima kuomba ruhusa. Nitaiondoa na safari hii ntaweka picha yangu mwenyewe.

Hao uliowataja ni public figures.

Je, Nsia naye ni public figure au ni private person?

*Sijui kama ni lazima kuomba ruhusa au la ndo maana nikauliza kama wewe umemuomba ruhusa.*
 
Hao uliowataja ni public figures.

Je, Nsia naye ni public figure au ni private person?

*Sijui kama ni lazima kuomba ruhusa au la ndo maana nikauliza kama wewe umemuomba ruhusa.*

Haya nimekuelewa. NITAIONDOA !!!

Nilifikiri pia ni sawa kuweka "hero" wako....SAMAHANI !!!
 
Back
Top Bottom