Mashindano ya Miss. Mbantu Kutoka Namibia...Lundenga Unaona?

Mashindano ya Miss. Mbantu Kutoka Namibia...Lundenga Unaona?

Karibi kwa waungwana......
Huku ukiweka ule ujinga wako tutakujeruhi kwa vitu vyenye ncha kali na vitu vizito......
 
Karibi kwa waungwana......
Huku ukiweka ule ujinga wako tutakujeruhi kwa vitu vyenye ncha kali na vitu vizito......

Sasa niko Roma na nitafanya kama nyie Waroma ma-great thinkers mnavyofanya. Na ujinga huo wewe mwerevu wala usikusumbue - waachie wajinga (au pengine werevu?) wenyewe wahangaike nao. Giza mumo kwa mumo au pengine ni giza lenye nuru ndanimwe...Who knows!?
 
We mitikisiko hiyo no picha yako isizuge hapa. Hebu nipm. Ndo mambo Yangu hayo.
 
mleta mada kama nimekuonaga wapi sijui... eeerrrr .... aaaa..a.a.ahaa nimekumbuka sasa...
 
karibu sana huku ni upole tu wahitajika tofauti na kule full kujiachia
 
Karibu sana JF Nancy..una mashabiki wengi hapa JF
omba upewe access na jukwaa la wakubwa i am sure uta feel home
cc Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
We ni nancy kweli ww au mamluki? Hata siamini kudadadeki naona wokovu unakunyemelea, na vp kule kwetu ndo maana uptodate zinachelewa kumbe umehamia huku aisee, kudadadeki wallahi, krb
 
Avatal yake tu ni balaa si yule binti SWAI ***** wallahi huku ulikoingia nancy siko kabisa hakukufai aisee utaaribu muda c mrefu. Alafu kuna mzigo mpya nataka nikutumie kule kwetu vp upo au ndo mazima huku.
 
Back
Top Bottom