Hisroria ya mashindano ya ulimbwende Tanganyika..! Rip Hashim Lundenga

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
373,018
Reaction score
864,150
Mwaka 1967 yalifanyika mashindano ya urembo kwa mara ya kwanza nchini, na dada Theresia Shayo akabeba taji. Mwalimu Nyerere akayapiga marufuku kwa madai kwamba yalikuwa yanaendeleza ukoloni mamboleo na yanatweza utu wa mwanamke.

Miaka 27 baadaye, mwaka 1994, Mzee Ruksa akayaruhusu. Lundenga akapewa kibali cha kuendesha mashindano hayo kupitia kampuni yake ya Lino International Agency. Aina Maeda, dada mwingine wa Kichagga, akanyakua taji.

Mwaka 1995 taji likaenda Dodoma kwa Emily Adolf, akiwa mwanafunzi wa Kidato cha 3 Shule ya Sekondari Central. Baada tu ya kunyakua taji, akafukuzwa shule kwa kosa la kushiriki mashindano ya “aibu”. Hata hivyo, aliyekuwa Waziri wa Elimu, Profesa Philemon Sarungi, aliingilia kati na kumrudisha Emily shule.

Mwaka 1996 taji likarudi Migombani kwa dada Shose Sinare. Mwaka 1997 taji likanyakuliwa tena huko Migombani, likaenda Kirua Vunjo kwa dada Saida Kessy. Mwaka 1998 taji likaenda Usukumani kwa dada Basila Mwanukuzi. Mwaka 1999 likarudi Migombani tena, safari hii likaenda Old Moshi kwa dada Hoyce Temu. Mwaka 2000 taji likaenda Kigoma kwa dada Jacqueline Ntuyabaliwe (K-Lyn).

Wakati wote huo, Mzee Lundenga alijitahidi sana kuyapromoti mashindano hayo na kutoa elimu ili kuondoa dhana "potofu" kuwa mashindano hayo ni uhuni.

Kidogo kidogo alianza kurejesha hadhi ya mashindano hayo na kuyafanya yaheshimike. Makampuni makubwa yakaanza kuwekeza kwenye tasnia ya urembo. Jukwaa la Miss Tanzania likawa fursa ya kufungua ndoto za mabinti wengi na kuwasaidia ku-venture katika fursa nyingine zaidi. Wengine wakawa wanahabari, wanadiplomasia, wafanyabiashara, waigizaji etc.

Miaka 23 ya Lundenga kwenye ulimbwende ndio imewatengeneza akina Basila Mwanukuzi, Hoyce Temu, K-Lyn, Faraja Kota, Nancy Sumary, Jokate Mwegelo, Aunty Ezekiel, Irene Uwoya, Wema Sepetu, Millen Magese, Miriam Odemba, Aminata Keita na wengine wengi.

Lundenga aliendelea kuandaa Miss Tanzania hadi mwaka 2018 alipong’atuka kwa sababu za kiafya na kuachia mashindano hayo kuendeshwa na kampuni ya The Look Co. Ltd chini ya dada Basila Mwanukuzi. Kwaheri Uncle Lundenga. Asante kwa jitihada zako za kukuza tasnia ya urembo nchini na kuipa heshima.!

Credit: Malisa GJ FB

1745072399306.jpg
 
Attachments

  • 1745072399306.jpg
    1745072399306.jpg
    577.1 KB · Views: 37
Ni kweli alikuwa anawatafuna sana walimbwende kama inavyosemwa??
 
View attachment 3309585
Sasa ninamleta Theresia Shayo mbele yenu, karibu.
images.jpeg
theressa.jpg
 
Buriani ankoli
 
Back in the day, beauty pageants in Tanganyika were small and not super organized. Things really changed in 1994 when Hashim Lundenga brought back Miss Tanzania through his company, Lino International. He helped turn it into a big deal, giving young women a platform to shine both locally and internationally. He’s known as the “Father of Beauty Pageants” in Tanzania for a reason. His impact was huge, and his legacy will definitely live on.
 
Ni kweli alikuwa anawatafuna sana walimbwende kama inavyosemwa??
No! Yeye alikuwa dalali tu, jasiri muongoza njia na genge lake ndio walikuwa watafunaji. Muulize Pascal wa JF atakumwagia data.
 
Mwenzako kaleta mada hii hii mapema tu, na wewe umeleta pia.
Kwahiyo unataka kusemaje?
Uzi uunganishwe?i
Samahani, nimeweka picha ili wasiomjua wamuone na hizi zimo ndani ya Reply ya mleta mada sasa sijui utaunganishaje!
 
RIP. Nilisikia pia rafiki/mshirika mwenzake ndugu Makoye pia naye ameshafariki.
 
Back
Top Bottom