Mashindano ya Miss. Mbantu Kutoka Namibia...Lundenga Unaona?

Mashindano ya Miss. Mbantu Kutoka Namibia...Lundenga Unaona?

View attachment 213687View attachment 213687Ndiyo tu nimejiunga na najifunza jinsi ya kushiriki katika uwanja huu. Picha hizi pengine inabidi nizihamishie katika jukwaa la picha. Naamini hizi ni picha za kawaida tu na hazitamkwaza mtu ye yote. Samahani kama nimevunja masharti. Ndiyo kwanza najifunza kusimama tisti katika ukumbi huu!
Shkamoo Nancy, nimekukumbuka. Vipi kuhusu 100% Bongo verified mbona sioni?
 
Back
Top Bottom