CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Nipo.Vp ulifanikiwa?
Wewe Honey Faith mbona unawasiliana na mume ya mtu masaa ya hatari???? Unanijua hunijui??? :bange:
Last edited by a moderator:
Nipo.Vp ulifanikiwa?
Wewe Honey Faith mbona unawasiliana na mume ya mtu masaa ya hatari???? Unanijua hunijui??? :bange:
Wanaiga brazil??
Karibu sana JF Nancy..una mashabiki wengi hapa JF
omba upewe access na jukwaa la wakubwa i am sure uta feel home
cc Nyani Ngabu
haya mwenzio kapendeza ila angalia usije ukaweka zile zako za utupu au uliacha?
Mi nilijua jf ni watu wazima kumbe ndo blog yenu ya huyo nani sijui
Nancy mitikisiko solemba.
Shetani akizeeka anakuwa malaika.
Though siko sure sana kama ndo yeye maana yeye anapendelea kumix na ung'eng'e kwa wingi.
I have a sneaking suspicion that 'she' is not at all new to these forums!
Not even sure if 'she' is the one.
Could very well be anyone who decided to use the moniker.
Nevertheless, I'll give her some benefit of the doubt.
Karibu sana jamvini tujamiiforumike mkuu.Ni vyema sasa ukaomba ufunguo wa jukwaa la 18 kutoka kwa Invisible.You're warmly welcomed.Shetani na malaika huwezi kuwatenga kwani wanakamilishana. Ndiyo maana hata nyie watakatifu hukimbilia kwenye majumba ya ibada kila wiki ili kupunguza "ushetani" mliojilimbikilizia kwa wiki nzima. Vyote vimechanganyika mumo kwa mumo kaka...Ni mimi halisi mwenyewe Nancy Mitikisiko Salamba (MITISA). Sema ushahidi wo wote unaotaka ili kuthibitisha kuwa ni mimi na nitautoa!
@ Nyani Ngabu: Mimi ndimi mwenyewe. Nipo!
Ukweli ni kwamba nilikuwa napita mara moja moja kimya kimya tu bila kuwa memba. Hatimaye nimeamua kujiunga ili niweze kuwa nashiriki katika mijadala - kwa kufuata sheria na taratibu zote. Na pakinishinda nitaondoka kimya kimya kama nilivyokuja kwani sikulazimishwa na mtu kuja kujumuika hapa.