Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,218
- 4,591
CCM NI MAFII YA KUKUPumbafu kabisa hiki ki muungano Uchwara Cha mbwa mwitu na kondoo kifutiliwe mbali kabisa,
Chetu Chao, Chao Chao sisi hakituhusu!
Hivi watanganyika tunafeli wapiii?
Njia pekee ni kusimama kizarendo nyuma ya legacy zenya maamuzi magumuNdio maana wanakataa Katiba mpya,wanajua madudu yaliyomo kwenye Muungano.Lkn wakati utafika kitaeleweka tu.
Dawa ni kushirikiana kuvunja muungano huu muungano wa ki-ngese kabisa wabara na wazanzibari tupinge muungano uchwaraVipi hili jeshi lenu mlilolileta lililojaa kila kipembe Na usalama mliowamwaga kila street mtawaondosha lini ??
We are reading to much into this!!"Mgeni sio kwamba ananunua ardhi, na sio kwamba anapewa umiliki wa 100% hapana anapewa kibali cha kuwekeza kwa miaka kadhaa. Kwa mtu anayetoka Tanzania Bara ambaye anataka kufanya Uwekezaji Zanzibar anatumia utaratibu huo huo" Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Ally Mwinyi.
View attachment 2028001
Hao watabaki kuwa wabara baada ya muungano kuvunjika siyo tatizo na kama watachagua kuwa wazenji basi watapaswa kuuza ardhi wanayo miliki baraHata ukivunjika muungano Wapemba wako mpaka Handeni, na Mtae wamejenga majumbani na wanamiliki ardhi kubwa tu .
Kulindwa siyo tatizo tatizo ni double standard ilitakiwa na mzanzibari awekewe kiji sheria kidogo kwa bara angalau kuendana na hiyo ya zanzibar .....ilitakiwa mzanzibari asiruhusike kumiliki ardhi ya bara zaidi ya heka mojaKwisha habari yenu Ardhi ya ZANZIBAR NI ndogo Sana isipolindwa Kesho na keshokutwa tutakua na uhaba mkubwa WA Ardhi Kwa vizazi vyetu Watanganyika ttzo lenu si Ardhi mnamamia Kwa maelfu ya maekar tatizo lengu ni umaskin WA akili ndio maana mnahama huko kuja kututilia nzi huku
Hapo ndipo pekee alipo kosea Nyerere serikali moja ndiyoilikuwa dawa ya muunganoAsiyemlaumu Nyerere katika hili hana upeo wa historia. Kwa maneno yake mwenyewe, Nyerere alikataa ombi la Karume la kutaka iwe nchi moja na yeye awe rais- eti kwa sababu aliogopa asiambiwe ameimeza Zanzibar! Sikumwelewa kwa kweli. Nadhani zaidi aliogopa Uislamu wa Zanzibar.
Tanzania hatuna viongozi waliopo wapo kusaka tonge tu kusomba pesa za nchi kwa maslai yao na familia zao tuHuu Muungano una changamoto nyingi. Wenye mamlaka ya kuwezesha kufanyika mabadiliko wapo kimya. Siku Watanganyika wakija kuamua kuidai Tanganyika yao kwa ngvu, tusije kuja kuanza kumlamu shetani bure. Tunaloweza kulirekebisha leo turekebishe kabla hatujachelewa
Wewe kweli ni zuzu wa bara ndiyo tunaongozwa na wazanzibar kwa sasa RAISI WA TANZANIA NI MZANZIBAR NA RAISI WA ZANZIBAR NI MZANZIBARMkuuu sasa zanzibar si inaongozwa na bara?.
Kifupi wazanzibar wote ni wabara isipokuwa walichanganya damu na waarabu na wahindi ambao siyo wabara hivyo mwinyi ni mzenji ukitumia hicho kigezo chako utakuta hakuna mzanzibar maana hata karume ni m bara tuTafuta asili ya Mwinyi mzee upate majibu ni mtu wa wapi upande wa baba yake..
Ile katika ambayo hata yeye aliikuta kule hakuyaanzisha yeye yale
Ni sahihi na ukweli usiopingika..Kifupi wazanzibar wote ni wabara isipokuwa walichanganya damu na waarabu na wahindi ambao siyo wabara hivyo mwinyi ni mzenji ukitumia hicho kigezo chako utakuta hakuna mzanzibar maana hata karume ni m bara tu
HahaaaaaaMhuu, wenye Tanganyika yao wamefufuka haya sii mapya ila kibiriti kimewashwa. Tuwe macho na busara pia tusibomoe kila kitu kwa kauli ambayo sio mpya kwani ipo kwenye katiba ya Zanzibar siku zote.
Doh, hatari sana.Umeme unatoka bara kwenda Zanzibar ila Zanzibar hawana mgao wa umeme